Vituka HIGH School

Vituka HIGH School

Share

"The better choice".. Wage war against poverty

21/10/2022

Elimu ni Mtandaoni sasa

30/01/2022

KARIBU SHULE YA SEKONDARI VITUKA

15/01/2021

SHULE ZILIZOONGOZA KITAIFA

SHULE 10 BORA KITAIFA

Na msomibora.com (masomo sekondari)

Hii ndio orodha ya shule 10 bora kitaifa, zilizofanya vizuri zaidi katika mtihani wa kidato cha nne 2020

1. St. Francis Girls (90 students)- Mbeya
2. Ilboru (120 students)- Arusha
3. Canossa (102 students- Dar es Salaam
4. Kemebos (66 students)- Kagera
5. Bethel Sabs Girls (74 students)- Iringa
6. Feza Boys (73 students)– Dar es Salaam
7. Ahmes (65 students)- Coast.
8. St Aloysius Girls (80 students)- Coast
9. Marian Boys (154 students) – Coast
10. St. Augustine Tagaste (125 students) Dar es Salaam

Kutazama zaidi hizi shule na Matokeo,
bonyeza hapa https://www.msomibora.com/2021/01/top-10-schools-form-four-necta-2020.html

22/11/2020

HABAKI MTU MWAKA HUU

Faulu Mitihani ya Form Four - Mwaka 2020

Blog pendwa ya Elimu nchini Tanzania, Msomi Bora.
Tumekuandalia nondo kali ambazo zitapelekea wewe ufaulu Mtihani wa Taifa, Form Four Mwaka huu 2020.

Solving Exams - Necta 1985 - 2019
👉 https://www.msomibora.com/2019/08/solving-exams.html

Past Papers - Necta 1986 - 2019
👉 https://www.msomibora.com/2020/05/past-papers-1986-2020.html

Pakua Vitabu vya Masomo
👉 https://www.msomibora.com/.../download-notes-and-books...

Pakua Notes zote za Masomo
👉 https://www.msomibora.com/.../download-notes-exams...

Muongozo wa Kufaulu Geography
👉 https://www.msomibora.com/.../pass-geography-necta-2020...

Muongozo wa Kufaulu History
👉 https://www.msomibora.com/.../pass-history-necta-2020...

Muongozo wa Kufaulu English
👉 https://www.msomibora.com/2020/11/a-guide-to-pass-english-exam-necta.html

Uchambuzi wa Vitabu (English & Literature)
👉 https://www.msomibora.com/.../literature-analysis-for...

KUFAULU NI LAZIMA MWAKA HUU

Share huu ujumbe k**a unaguswa na maisha ya wengine

19/11/2020

FAULU FORM FOUR - Mwaka 2020

Tumekuandalia nondo kali ambazo zitapelekea wewe ufaulu Mtihani wa Taifa, Form Four Mwaka huu 2020.

Solving Exams - Necta 1985 - 2019
👉 https://www.msomibora.com/2019/08/solving-exams.html

Past Papers - Necta 1986 - 2019
👉 https://www.msomibora.com/2020/05/past-papers-1986-2020.html

Pakua Vitabu vya Masomo
👉 https://www.msomibora.com/.../download-notes-and-books...

Pakua Notes zote za Masomo
👉 https://www.msomibora.com/.../download-notes-exams...

Muongozo wa Kufaulu Geography
👉 https://www.msomibora.com/.../pass-geography-necta-2020...

Muongozo wa Kufaulu History
👉 https://www.msomibora.com/.../pass-history-necta-2020...

Uchambuzi wa Vitabu (English & Literature)
👉 https://www.msomibora.com/.../literature-analysis-for...

KUFAULU NI LAZIMA MWAKA HUU

Share huu ujumbe k**a unaguswa na maisha ya wengine

12/11/2020

Adhabu ina elimu yake pia

Zingatia haya wakati Unamwadhibu Mwanafunzi

Kutokana na kesi kuwa nyingi za walimu kuwachapa wanafunzi hadi kuzimia na kufa kabisa. Leo nakupa maelekezo ya kuzingatia wakati wewe mwalimu au mtu yeyote yule unamwadhibu mwanafunzi.

Na msomibora.com (masomo sekondari)

1. Kisheria mwanafunzi anatakiwa anaadhibiwe viboko vitatu tu.

2. Na k**a itaonekana adhabu hiyo ya viboko haimtoshi mwanafunzi, basi aongezewe adhabu nyingine k**a ile kufyeka, kuchimba mashimo nk

3. Ikionekana huyo mwanafunzi bado ni sugu yaani hataki kubadilika, basi aitwe mzazi au mlezi wake hapo shuleni, mzazi ataelezewa makosa anayofanya mwanae, na ajionee mwenyewe tabia ya mwanae ilivyo.

4. Mwanafunzi huyu ikiwezekana aadhibiwe mbele ya wanafunzi wote (mstalini) na mzazi wake akiwepo, hii itamtia aibu sana huyu mwanafunzi. Maana atakuwa amejiharibia heshima yake kwa wanafunzi wenzie na hata huko nyumbani.

5. K**a huyu mwanafunzi bado ataendelea kuwa mkaidi, basi k**ati ya nidhamu ya shule, itaamua kumsimamisha masomo (suspension) kwa muda fulani, au hata kumfukuza shule kabisa k**a itabidi.

6. Usimchape mwanafunzi ukiwa na hasira sana, hii sio vita, bali kumsaidia mtoto arudi katika njia nzuri.

7. Usimwadhibu mwanafunzi k**a njia ya kulipa kisasi kwake, labda kuna kitu alikugomea. Ukifanya hivi mwanafunzi atakuelewa tu.

8. Usimchape mwanafunzi kwa sifa ili walimu wenzako wakuone wewe ni hodari, hapa utajikuta unavunja taratibu za kutoa adhabu na kusababisha maafa, na hata mwanafunzi ajitetetee akitaka kupigana na wewe.

9. Viboko sio adhabu pekee, jifunze kutumia njia zingine k**a kuonya, vikazi vya kumchosha kidogo k**a kufuata maji, kupalilia viunga vya shule n.k

10. Usipende sana kutumia viboko kwa wanafunzi wa vidato vya juu k**a form 5 na 6, hawa wengi wao huwa wanajielewa, kwahiyo kaa nao ukiwaelekeza.

11. Usiwachape wanafunzi wa k**e makalioni, kibaolojia sio salama kwao, wachape mikononi.
--
👉 MsomiBora.com
Notes for Secondary Schools

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam