Profa1

Profa1

Share

Ni mradi unaohusika katika kuelimisha watoto wa shule binafsi za msingi juu ya utamaduni wa nchi yetu pamoja na kuwafundisha kuwa wazalendo.

Tunapo jenga viwanda, miaka 20 ijayo watoto waliopo shule za msingi ndio watakao kuwa wateja wa viwanda vyetu.

Photos from Profa1's post 22/07/2019
04/07/2019

huduma bora uongeza uzalendo

Untitled album 04/07/2019
04/07/2019

K**a hatukuwajengea watoto wetu hali ya umiliki, tusitegemee watakuwa walinzi wa mali za taifa letu.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


MBAGALA/MAJIMATITU
Dar Es Salaam
P.O.BOX77285