15/12/2025
NEW VISION AND MUUMINAT NURSERY SCHOOLS,
WE SUCCEED THROUGH STRUGGLING
New vision daycare , tupo Dar es salaam, manispaa ya temeke , mtoni kijichi - kabojonga. contact.
0759215811
0652089312 HUDUMA ZITOLEWAZO KITUONI KWETU.
Tunatoa twisheni za nursery (chekechea) kuanzia miaka 3- 6
Twisheni za wanafunzi wa shule za msingi kuanzia darasa la kwa kwanza - la saba
Twisheni za secondary kwa pre-form one
MUDA
Masomo huanza sa tisa na nusu(09:30 hadi saa 12:30
15/12/2025
NEW VISION AND MUUMINAT NURSERY SCHOOLS,
WE SUCCEED THROUGH STRUGGLING
23/12/2022
Welcome to New Vision English Medium Nursery School
19/12/2022
That's New Vision English Medium Nursery School
08/10/2022
๐Karibu NEW VISION DAY CARE CENTER,
๐Tupo mtoni kijichi- Kabojonga
๐Tuaendelea na uandikishaji wa watoto kuanzia miaka 2.5 - 6
๐Form zipo Tsh. 3,000
๐Sare zinapimwa na kushonwa shuleni (sare ya mtoto wa kiume ni Tsh.16,000 na mtoto wa k**e ni Tsh.20,000/=
๐Ada kwa mwezi ni Tsh. 15,000 kwa wanaotoka saa saba na Tsh.30,000 kwa wanaoshinda shuleni hadi jioni.
Karibuni sanaa kwa elimu bora
22/01/2022
Karibuni New Vision Nursery school
05/12/2021
Heshima kubwa Tuliyoindika akilini na mioyoni mwenu itaishi na itukumbukwa milele *GUEST HONOUR* ๐๐๐
04/12/2021
Congratration ๐๐๐
27/04/2021
Haki elimu
That's New vision
Mtoni kijichi
Dar es salaam
Karibuni sana
09/09/2020
Habari zenu wadau wetu. Uongozi mzima wa shule unaanza kukualika mapema katika shughuli ya kuwaaga vijana wetu wanaotarajia kuanza std 1 mwakani. Wote mnakaribishwa saana mwezi kumi na moja mwishoni.
09/09/2020
Mwaka huu tena tunatarajia kutapendeza zaidi ya mwaka uliopita
&
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |