06/10/2020
Baada ya mzunguko wa challenge tatu za mitihani, hatimaye tumepata majina 48 kwa ajili ya mchongo wa Msongo. Hawa waliopatikana watashiriki program maalumu inayoitwa Elimu Power Show ambayo itarushwa live Clouds Tv na kutakuwa na ushindani wa Quiz mbalimbali Mpaka kupata washindi.
Kumbuka mchongo wa msongo ni scholarship yenye thamani ya Milioni 80 kwenda mojawapo ya vyuo 100 bora duniani.
02/09/2020
You can only learn so much about another culture by watching Tv and youtube videos. If you really want to thrive in life, learning how to view things from another’s perspective is imperative. In case you haven’t noticed, we’re living in a globalized world. We share cultural icons with people from America, Europe etc., we trade with people from china, India, Japan etc. and we face political challenges across continents.
Studying abroad will allow you to be able to thrive in a globalized world.
21/08/2020
K**a umehitimu kidato cha sita, umefaulu na haujazidi umri wa miaka 24, endelea kujiandikisha kupitia www.elimupowershow.co.tz ili uwe kwenye nafasi ya kujipatia scholarship yenye thamani ya milioni 80 kwenda kwenye mojawapo ya vyuo 100 bora duniani.
K**a unapata shida kujiandikisha tumekuwekea hapo kwenye picha namna ya kujiandikisha kwa njia ya simu. Kumbuka mchujo wa kwanza utaanza tarehe 7 na utakuwa kwa njia ya mtandao kupitia akaunti uliyojiandikishia.
Huu ni Mchongo wa Msongo.
20/08/2020
Huu ni mchongo kwa ajili ya mpambanaji uliyehitimu kidato cha sita, ukafaulu na Una umri usiozidi miaka 24. Tunakuletea scholarship yenye thamani ya zaidi ya milioni 80 kwenda mojawapo ya vyuo 100 bora duniani.
Jiandikishe kwa kuingia kwenye tovuti ya www.elimupowershow.co.tz kisha bonyeza join.. utaona vigezo vya kushiriki(Criteria for participants).
K**a unakidhi, bonyeza (accept), hapo Utaletewa page yenye form ya kujisajili. Jaza taarifa zako zote za msingi.
Ukimaliza usajili wako bonyeza create account hapa utakuwa tayari umejisajili na utaonyeshwa countdown ya kuelekea usaili wa kwanza.
Hakikisha Una ufaulu unaokuruhusu kwenda chuo kikuu na haujazidi umri wa miaka 24. Mchujo/Usaili utafanyika September 7 kwa njia ya mtandao pia.
17/08/2020
Hii Ndio wiki ya kujiandikisha ili uingie kwenye usaili utakaofanyika kupitia njia ya mtandao.
Ingia kwenye tovuti ya www.elimupowershow.co.tz kisha bonyeza join.. utaona vigezo vya kushiriki(Criteria for participants).
K**a unakidhi, bonyeza (accept), hapo Utaletewa page yenye form ya kujisajili. Jaza taarifa zako zote za msingi.
Ukimaliza usajili wako bonyeza create account hapa utakuwa tayari umejisajili na utaonyeshwa countdown ya kuelekea usaili wa kwanza. Hakikisha Una ufaulu unaokuruhusu kwenda chuo kikuu na haujazidi umri wa miaka 24.
Cc: Elimu Power Show
14/08/2020
K**a umehitimu kidato cha sita mwaka wowote ule, ulifaulu kwenda chuo kikuu na Una umri usiozidi miaka 24, basi nafasi ni yako kupata mchongo wa kusoma nje ya nchi. Fuatilia vipindi vyetu Clouds FM, Clouds Tv pamoja kwa kuwafuata
13/08/2020
K**a umehitimu kidato cha sita na una ufaulu wa kutosha kwenda chuo kikuu basi kuna mchongo kwa ajili ya wasongo wote. Unayo nafasi ya kupata scholarship kwenda katika mojawapo ya vyuo 100 bora duniani yenye thamani ya Zaidi ya milioni 80. Kuanzia wiki ijayo Clouds Media ikishirikiana na na tutatoa utaratibu mzima wa namna ya kufanya ili uweze kunufaika na mchongo huu wa wasongo. Endelea kufuatilia Clouds Fm, Clouds Tv Pamoja na kurasa zetu za mitandao ya kijamii. Mwambie na mwenzio.
12/08/2020
Kuanzia wiki ijayo, Clouds Media Group Pamoja na tutaanza mchakato wa kumpa mchongo wa maana Msongo mwenye ndoto za kusoma nje ya nchi kupitia . K**a umehitimu au unamfahamu mtu aliyehitimu na kufaulu kidato cha sita na ana umri usiozidi miak 24 basi mwambie kuna mchongo wa kushinda scholarship yenye thamani ya mpaka milioni 80 kwenye moja ya vyuo 100 bora duniani. Msh*tue ndugu yako aendelee kufuatilia Clouds FM, Clouds TV na kurasa zetu ili kufahamu utaratibu. Usaili kuanza wiki ijayo.
12/08/2020
Unamfahamu msongo? Mtu anayependa shule na ambaye amefaulu kidato cha sita na hajavuka umri wa miaka 24? Basi Clouds media group pamoja tunakuletea Mchongo wa Msongo ambapo tunatoa scholarship kwenda moja wapo ya vyuo 100 bora duniani kupitia Elimu Power Show . Scholarship hii itakuwa na thamani ya milioni 80. Msh*tue ndugu yako aendelee kufuatilia Clouds FM, Clouds TV na kurasa zetu ili kufahamu utaratibu.
Usaili kuanza wiki ijayo.
24/01/2020
This course will provide you with the fundamental project management skills, theories and methods required to succeed in today's complex business environment. Project managers help organisations deliver new products, services and infrastructure. They manage and implement new systems and processes and they effect change within organisations. Working within an industry context, this degree covers the fundamentals of project management from basic theory to technical application in real-world environments
Apply today for different courses available in the . Click link on bio for more information or call us on 0677 700 700/0744 700 700 or visit our offices at NHC Building-Biashara Complex,First Floor,Suite No.106 Mwananyamala Komakoma,
Hotline : +255 677 700 700
Email : [email protected]
Facebook : facebook.com/elimusolutions
Instagram :instagram.com/elimusolutions
Twitter :twitter.com/elimusolutions
23/01/2020
We offer the full spectrum of services to help our clients to achieve and attain their dreams and goals of an affordable quality education inline with global current needs
Apply today for different courses available in the . Click link on bio for more information or call us on 0677 700 700/0744 700 700 or visit our offices at NHC Building-Biashara Complex,First Floor,Suite No.106 Mwananyamala Komakoma,
Hotline : +255 677 700 700
Email : [email protected]
Facebook : facebook.com/elimusolutions
Instagram :instagram.com/elimusolutions
Twitter :twitter.com/elimusolutions
23h