14/11/2020
π½ π© Chaza au Makabaaπ
Kanta boyz never stand alone .....
14/11/2020
π½ π© Chaza au Makabaaπ
29/09/2020
Mtaje unaemjua
Mimi naanza na Yona philimon and Sugwejo Sugwejoπ
21/09/2020
2013
17/09/2020
This is Kantalamba
School Song: Kantalaaamba Kantalaambaa ivi ndo inaimbwaje eti?
Nataka nione k**a shule yetu ina magenius wengi nahitaji tufikishe comment 500 na likes 1k ili tuvunje rekodi za shule nyengine zinzotaka shindana nasi wajue Kanta boyz sio wa levo yao wakacheze wanapochezaga
Comments: 500
Likes: 1k
15/09/2020
Hivi jikoni maji yalikua yanajazwaje vileeee ππΏ
29/07/2020
24/07/2020
: Rais John Pombe Magufuli ametangaza kufariki kwa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa. β¬
βͺMwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.β¬
βͺHabari zaidi zitakujia hivi punde. β¬
26/06/2020
Neno moja kwake
Nani huyooooo
Nani alieshangaa kashika ndoo
20/06/2020
USILETE UTANI KATIKA MAPENZI
- Mdada Mmoja alitaka kujua ni kiasi gani anapendwa na mume wake, hivyo akataka kujua mumewe _ atafanya nini endapo ataamua kuondoka na kumuacha!
Mwanamke Huyo akaamua kuandika Barua inayosomeka "Samahani mume wangu, Nimeamua kuondoka na kwenda kuanzisha maisha mapya mbali na wewe" Barua hiyo akaiweka juu ya meza iliyokuwa chumbani
Baadae Jioni, muda wa mumewe kurudi mwanamke Huyo akajificha chini ya Uvungu wa kitanda, mule chumbani mume alipoingia
Akakuta Barua Ile Ipo juu ya meza akaisoma
Kisha akaandika maneno Fulani kwenye Ile Ile Barua, harafu akaanza kuimba imba kwa Furaha huku akiwa anapiga miluzi na akiwa anavua nguo.
Mara akapiga simu na akasikika akisema Hivi *Hello mpenzi nina Raha sana Leo....yule mwanamke nuksi ameondoka mwenyewe bila kumfukuza na kutuachia uwanja jiandae Nakuja * muda Huo huo mume akaondoka
Mwanamke alipokuwa uvunguni akawa analia na kutokwa na machozi akaamua kutoka, huku akiwa amenyong'onyea na ameloa mashavu kwa machozi
Akasogea pale ilipo barua na akataka kujua mumewe aliandika kitu gani kwenye Ile Barua !! Akakuta maneno haya " Nimekuona miguu yako upo chini ya Uvungu tafadhali Andaa chakula nina Njaa Sana
Mumeo ila Nimetoka kidogo nafuata maziwa nilisahau kupitia. Nakupenda mke wangu...
πππππππππππππππππππ
-Hivi Nani kampatia mwenzake ??
21/03/2020
Mi namjua k**a
Je wewe unamjua k**a nani?
21/03/2020
Mtag Unaemjua Mi naanza na Kikando
09/04/2018
2014 - 2017
Picha kali sana officers wa rushwa from kanta boyz pamoja sana