Maisha ya wanafunzi wa vyuo vikuu,mahusiano,masomo,michezo na starehe

Maisha ya wanafunzi wa vyuo vikuu,mahusiano,masomo,michezo na starehe

Share

kila jicho litamuona bwana...mungu na awe sehemu ya maisha yako daima

25/09/2022

๐Ÿ˜‘

06/05/2022

Pass the truth to the new generation, Teach them early what we learn late๐Ÿ˜‘ !

04/11/2016

KIDOGO TUONGEE
Zaman kidogo wanavyuo walikuwa tofauti kidogo, ukilinganisha na wana vyuo wa sasa, sifa ya kwanza ya mwanavyuo wa zaman kidogo
1; walikuwa wakiingia mwaka wa kwanza wakiwa na umri mkubwa kidogo almost kuanzia miaka 20 and above..tofauti na sasa ambao wengi wao wananza mwaka wa kwanza wakiwa na miaka 16 hadi 18
2; wanafunzi wa kitambo kidogo walikuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja, hii ilitokana na uelewa mkubwa wa mambo hasahasa uwezo mkubwa wa elimu waliokuwa nayo, tofaut na wanafunzi wa sasa ambao wengi wamekuta elimu tayari imeshaingiliwa na chembechembe za siasa,,hivyo vyuon kuwa na wanafunzi wasio na sifa zisizostahili,
3; wanafunzi wa zaman kidogo walikuwa sio waoga hasahasa katika kudai haki zo za msingi k**a BOOM na mikopo ya practical field, waliweza kuipa hekaheka serikali kwa kuishinikiza kupitia uwez wao wa kujenga hoja,walikuwa mashujaa kupambana na vyombo vya dola hasahasa polisi ili mradi tu wanasimamia haki yao na sheria inaruhusu .
4; wanafunzi wa zaman kidogo walikuwa very concious na mambo yanayoendelea nje na ndani nya Afrika, tukio lisilo la kawaida k**a linatokea nje za nje wanafunzi wa tanzania walikuwa wanaandamana kulipinga tukio hilo, walikuwa wako mbele kupinga vitendo vyA kionevu vilivyokuwa vinafanywa na viongozi waovu, wanafunzi wa sasa wako tofauti kidogo wao hawana taarifa kabisa na masula ya kijamii ila wako busy na whatsup,instagrm facebook na snapchat, unaweza kuumuliza wanafunzi wa chuo wa sasa uvi ukakutajie maraisi 7 anaowajua akaishia kutaja magufuli pekee yake...hahahahahaha ila ukimwambia akutajie madancers 7 wa diamond..atakutajia mpka mtaa wanakoishi na mademu zao...hahaha HII INASHANGAZA SANA
LEO TUISHIE HAPA.

Mobile uploads 18/01/2015

Support udsm band..
Follow them on instagram

11/10/2014

unaweza ukapost chochote kuhusiana na chuo chako

Asante!

03/10/2014

NEW SEASON!!!!!!.....vyuo vingi vinafunguliwa hivi punde..........wewe umepanga kuboresha/kurekebisha/kuongeza kitu gani kipya???????

22/07/2014

haya tuambie course gani inazingua/ngumu kwenye fucult yako?

Photos 17/06/2014

huyu ndo msichana wa chuo kikuu cha IFM aliyepata supplementary ya course 5... na kumfanya adisco chuo....
hi hi hi hi......huyu mrembo bhana!!!

Photos 17/06/2014

Hawa ni wanachuo wa mwaka wa kwanza wa chuo kikuu cha Dar es salaam,,wakisherekea siku yao ambayo waiiita PSPA BIG DAY
walichangishana michango na kwenda kufanya yao huku....jamani si si munaoa!....unachakuongea au cha kushauri chochote kwa vijana hawa?...waliotoka jeshin mda si mrefu????

01/06/2014

zile stori zilizozagaa kila kona kuhusu kifo cha ghafla cha mwanafunzi wa chuo kikuu cha dar-es salaam aliyekuwa anasoma school of bizness(udbs) mwaka wa pili.
kuwa alikuwa hajafa ila alikuwa amezima sio za kweli
mwili wa marehemu ulisafirishwa juzi kwenda kuzikwa nyumbani kwao mbeya
tunatoa pole kwa ndugu na jamaa kwa msiba huo wa kustua
NYUMA YAKE MBELE YETU.
Safiri salaama salimini ndugu yetu
A M E N I

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Sea Cliff Hotel
Dar Es Salaam
+255