Stars Pre and Primary Schools

Stars Pre and Primary Schools

Share

Stars Pre and Primary school ipo Mbezi Mshikamano. Tunasajili watoto wa chekechea na darasa la I.

Pia tunapokea wanafunzi wanaohamia madarasa yote

Tupigie: 0784209890|0784209155

15/05/2022

Stars Pre and Primary school iliyopo Mbezi mwisho Mshikamano inawakaribusha wazazi/walezi wote kuleta watoto wao hapa

Stars ni shule inayopokea watoto wa darasa la awali kuanzia umri wa miaka miwili.

Pia tunaendelea kupokea wanaohamia darasa la 1, 2, 3, 5 na 6. Interview hufanyika kila siku hapa shuleni kuanzia saa 3asb hadi 8mchana

Fomu za kujiunga hutolewa bila malipo yoyote

Ukifika Stand ya Magufuli mbezi mwisho, tupigie tukuelekeze namna ya kufika shuleni kwetu.

Piga/WhatsApp: 0785788599

15/05/2022

UCMAS competition 2022. Stars ndani inafanya yake

Kujiunga na shule ya Awali na Msingi Stars iliyopo Mbezi mwisho Mshikamano wilaya Ubungo, Dar es salaam, Piga/WhatsApp 0785788599

Tunaendelea kupokea wanafunzi wa darasa la awali, la kwanza, la pili, la tatu, la tano na la sita

Interview ni kila siku kuanzia saa 3asb hadi 8mchana.

Fomu za kujiunga zinatolewa bila malipo

Ukifika stand ya Magufuli Mbezi mwisho, piga 0785788599 upewe maelekezo ya kufika. Ni karibu sana na stand ya Magufuli

Karibu sana

08/04/2022

STARS are you ready.... yeeeeeeeees

08/04/2022

Vijana wanapata lunch yao somewhere amazing

Piga/WhatsApp: 0785788599

08/04/2022

Darasa la Muziki linaendelea. Piga/WhatsApp: 0785788599

08/04/2022

Std 7 wakiwa kwenye shindano la UCMAS tarehe 2 March 2022

Karibu ujiunge nasi, tupo Mbezi Luis, Mshikamano wilaya ya Ubungo, Dar es salaam

Piga/WhatsApp: 0785788599

31/01/2022

Let your kid join Stars Pre and Primary to become a star

Call/WhatsApp: 0785788599

31/01/2022

Class 6 in their classroom

To reserve a place for your kid,

Call/WhatsApp: 0785788599

Join Stars Pre and Primary Schools to become a star

23/01/2022

That is how boarding launching ceremony it was. Karibuni sana Stars

Piga/WhatsApp: 0785788599

06/12/2021

*STARS PRE AND PRIMARY SCHOOLS- (Day & Boarding)*

☆ Ni shule ya Awali na Msingi inayotumia lugha ya kiingereza kufundishia, ipo Mbezi Luis, Mshikamano (kwa Mroso Ng'ombe)

☆ Shule inaendelea na usajili wa darasa la awali (chekechea) kuanzia umri wa miaka 2 na darasa la kwanza - 2022

☆ Pia tunapokea wanaohamia darasa la II - VII

☆ Fomu za kujiunga na usaili ni bure

☆Huduma zilizopo ni:-
• hostel

• usafiri

• chakula na maji safi

• mafunzo ya kompyuta

• mafunzo ya kupiga kinanda

• michezo mbalimbali

Kwa maelezo zaidi,

Piga/WhatsApp:
0784209155|0784209890

Kaulimbiu yetu: "elimu kwa wote"

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Mbezi Mshikamano
Dar Es Salaam