Habari
Gracious Nursery and Primary School
Well come
NENO LA JIONI......Hagai : Mlango 1
8 Pandeni milimani, mkalete miti, mkaijenge nyumba; nami nitaifurahia, nami nitatukuzwa, asema BWANA... KARIBU TUIJENGE NYUMBA YA BWANA NZASA KILUNGULE 30/8/15. JION NJEMA
Good morning
Asubui njema wapendwa
28/09/2014
Tunapoelekea kumaliza mwaka tunakaribisha wanafunz wapya. Nursery and primary
23/09/2014
Tunawashukuru kwa sapoti yenu. #
23/09/2014
Tunawatakia siku njema yenye furahaa na upendo.
Tunawapenda wote tunawajali wote. Tunawatakia asubui .njema
15/09/2014
Huyu ni mwalimu aki relax kidogo. After periods
15/09/2014
TAG Pugu Kajiungeni Dar es Salaam 25483, Tanzania
Tazama tangazo la sekunde 60 jinsi uandishi wa vitabu olela unavyoleta mkanganyiko kwa walimu na wanafunzi. Tangazo limetolewa na HAKI ELIMU.
15/09/2014
Tunawatakia wooote asubui njema na njema na yenye baraka teele za Mwenyezi Mungu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Pugu Shule Ya Msingi, Kwa Mwema
Dar Es Salaam