27/09/2015
You know what??.. No body but me
Upendo kwa wazazi wangu pamoja na kwa kila mtu Naitwa evelinah. Nawapend wote asante.
Natokea mwanza mkazi wa nyamagana kwa sasa nipo dar es salaam,ni mtoto wa pili katk familiya yetu kat ya watoto wanne, naishi na wazazi wote wawili na ni nawapenda x**a . Kwa yeyote atakaye like page yangu naku2ma chochote kzur ntafurah, sema chochote utachojickia kuhusu mimi kilichokupendeza na kisichokupendeza kutoka kwangu.
27/09/2015
You know what??.. No body but me
27/09/2015
Id el haj kwang iko pouwah sanaa je kwenu mmeionaje? Mmeenjoy sehem k**a zp wapendw?
Hi 4 my own opinion....
Hii 4 my only opinion
20/09/2015
Love u xoo much my dear falhaa..
20/09/2015
Mdogo wangu ni m2 muhimu sana katka maisha yangu xo namuombea kw mungu ampe maisha marefu akue na aje kuwa k**a dada yake £velin@h I LOVE U XOO MUCH MY DEAR YOUNG SISTER.. Mwaaa
20/09/2015
Mwanaume mwenye mapenzi ya kwel ni yule mwenye malengo nawe tofauti na huyo >> jua kwamba huyo ni mraghai anakupotezea muda wako zaidi achana nae tafuta anaye kufaa ukimkosa kuwa single jali maisha yako,>> kwani itakuw bora zaid kuliko kujiingiza kucpo kufaa
20/09/2015
Heshima ni ki2 muhimu kwa kila binadam ila ni muhima x**a kuwaheshim baba na mama yako NAKUPENDA SANA B & M
20/09/2015
Napenda kuwapa hi wote kwa wale wote wanaonipenda nakusema pia hata mi nawapenda love u my people