Vijanaudsm

Vijanaudsm

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Vijanaudsm, Education Website, 9121 DSM, Dar es Salaam.

SurveyJ - #1 Survey Earning Network For You 19/03/2024

Making $100's Daily Made Possible Now With SurveyJ.
https://ref.surveyj.net/Yub29
We as members get paid for testing out new apps and referring friends

You get $40 just for signing up and people are making tons of money!
https://ref.surveyj.net/Yub29
🔥 Click the link to start and we can make money together!💰✅

SurveyJ - #1 Survey Earning Network For You SurveyJ is the #1 survey marketing network. With over $14 million paid to 300k members, SurveyJ lets regular users make money with social media and friends!

Photos 18/08/2016

kwa wasanii msikose pale Nafasi Art Space mikocheni

15/05/2016

Join our campaign ya kusaidia kufanya chuo chetu kiwe safi...
Piga picha ya eneo lolote lenye uchafu maeneo ya chuo na uweke hashtag ya
Picha nzuri itapata zawadi

Join the movement

15/05/2016

Follow our instagram page udsm

Photos 15/05/2016

Masomo yakibana bhana

Photos 15/05/2016



Hiki ni choo pale seminar rooms baada ya kufanyiwa usafi

Photos 15/05/2016
14/04/2016

Jingine laibuliwa na k**ati ya bunge.....

BUNGE limetoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha kwenye Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) mkataba wa Kampuni Lugumi Enterprises wenye thamani ya Sh bilioni 37.
Hatua hii inakuja siku mbili baada ya jeshi hilo kudaiwa kukaidi agizo la k**ati hiyo, iliyotaka likabidhi nyaraka za utekelezaji wa mkataba ufanyiwe tathmini kutokana na malalamiko yaliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali(CAG) katika hesabu za mwaka 2013/2014.
Akizungumza jana na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Kamati ya PAC, Aeshi Hilaly alisema agizo la k**ati la kutaka mkataba huo, lilitolewa wiki iliyopita kuwezesha wabunge kuangalia utekelezaji wake.
“Jana (juzi) ilikuwa siku ya mwisho kwa jeshi kuwasilisha mkataba huo ofisi za Bunge, lakini mpaka leo (jana) muda huu ninapozungumza nanyi (saa 7:30 mchana) walikuwa hawajawasilisha. “
"Siku zote tumekuwa tukitoa maagizo kwa mdomo na taasisi nyingi zimekuwa zikitekeleza, lakini hili la mkataba wa Lugumi naona kwa wenzetu limekuwa gumu, hivyo tumeamua kuwakumbusha kwa maandishi,” alisema.
Alisema k**ati hiyo imetoa siku tatu tangu barua itakapopelekwa na ofisi za Bunge, kuhakikisha wanatekeleza agizo hilo ili k**ati hiyo iweze kupitia utekelezaji wa mkataba huo na baadaye kupeleka mapendekezo kwenye Bunge.
“ Katika suala hili, Kamati haitarudi nyuma, hivyo tunawaomba wenzetu wa Jeshi la Polisi kutupa ushirikiano, si jambo la peke yangu kuamua, ni la Bunge, baada ya kupitia tunapeleka mapendekezo bungeni ambalo ndilo litakaloamua nini kifanyike,” alisisitiza.
Kamati ya PAC ilipokuwa ikipitia hesabu za Jeshi la Polisi, ilibaini kuwapo mkataba tata wa Kampuni ya Lugumi Enterprises .
Kupitia mkataba huo wa mwaka 2011, Kampuni ya Lugumi Enterprises ilipewa zabuni ya kufunga mashine za kuchukua alama za vidole katika vituo vya polisi 108 nchini kwa gharama ya Sh bilioni 37.
Inadaiwa kampuni hiyo imekwishalipwa Sh bilioni 34 kati ya Sh bilioni 37 ikiwa ni sawa na asilimia 99 ya fedha zote, huku ikiwa imefunga mashine katika vituo 14 pekee katika jiji la Dar es Salaam, ambavyo pia inadaiwa havijulikani maeneo vilipo

16/03/2016

Juzi mheshimiwa Rais Dk. J. P. Magufuli alitamka kauli ya kwamba vijana wasio na kazi waende wakalime vijijini na akasisitiza k**a hawataki basi wak**atwe kwa nguvu na kupelekwa kwenye makambi ya kilimo. Je hii ni sahihi kwenye nchi hii!?

18/02/2016

DEPARTMENT OF CREATIVE ARTS
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM

UONGOZI WA IDARA YA SANAA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (MLIMANI)

UNAKULETEA ONYESHO LA KAZI MBALAMBALI ZA SANAA
K**A;

• MAIGIZO YA JUKWAANI
• MUZIKI
• NGOMA ZA ASILI
• UPIGAJI WA ALA ZA MUZIKI

TAREHE: 19/02/2015
MUDA: 09:00-01:00
MAHALI: IDARA YA SANAA AU FPA
MKABALA NA MAMA LISHE
MBELE YA UDBS
KIINGILIO NI BUREEEEEEEEEEE


NJOO UJIONEE KAZI ZA SANAA…………

Photos 03/02/2016

Vijana UDSM network
Wanakuletea mdahalo

Tarehe 10/02/2016
Mahali; FPA Grounds UDSM
Muda; Saa 9 alasiri mpaka saa 11 jioni

MADA: MAHUSIANO YA JINSIA MOJA

Yatakayojadiliwa
1. Uhalali wa matendo haya
2. Athari zake katika jamii
3. Ni nini mtazamo wa makundi mbali mbali katika jamii

Karibu bila kukosa tujadili vitu vinavyotuzunguka

Photos from Vijanaudsm's post 02/02/2016

vijanaUDSM on 30th January 2016

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


9121 DSM
Dar Es Salaam