STUDY TOUR
Tulifanikiwa kuwapeleka wanafunzi wetu kufanya utalii wa ndani katika hifadhi ya taifa ya SAADANI NATIONAL PARK "WHERE THE BUSHES MEET THE OCEAN" ili kujifunza na kufurahia rasilimali zetu.
_________________________________
Bado tunapokea wanafunzi wa mwaka 2025, karibuni sana.
C.W.Kisaro Pre & Primary School
C.W.KISARO Nursery & Primary School. "Academic And Moral Excellence Is Our Pride "
05/12/2024
STUDY TOUR
Tulifanikiwa kuwapeleka wanafunzi wetu kufanya utalii wa ndani katika hifadhi ya taifa ya ili kujifunza na kufurahia rasilimali zetu.
_________________________________
Bado tunapokea wanafunzi wa mwaka 2025, karibuni sana.
05/11/2024
USAILI USAIL USAIL β¦β¦
USAILI wa darasa la kwanza na awali Unaendelea. Ni tarehe 15,22,29 NOVEMBER.
Ewe mzazi ambae unatafuta shule kutwa bora DSM basi C.W KISARO ndio chaguo sahihi. Karibu sanaπ
29/10/2024
Wow! Wanafunzi wetu wa Darasa la 7, wamefanya vizuri sana. Tunawafurahia na kuwaombea kila la kheri katika safari yao.
Tunamshukuru Mungu sana, Waalimu wetu, Wazazi na Wadau wote muhimu ambao wamekua sehemu ya Mafanikio haya.
Karibuni sana SHULE BORA YA KUTWA - Dar es Salaam.
______________
Ewe Mzazi/ Mlezi mlete mwanao kwenye shule yetu bora ya kutwa - Dar es Salaam
* Daycare
* Nursery & Pre-unit
* Primary School
π Tegeta - Madale
π +255 765 041 596
Karibuni sana!
23/10/2024
All the best, our dear students!
______________
Ewe Mzazi/ Mlezi mlete mwanao kwenye shule yetu bora ya kutwa - Dar es Salaam
* Daycare
* Nursery & Pre-unit
* Primary School
π Tegeta - Madale
π +255 765 041 596
Karibuni sana!
14/10/2024
Celebrating legacy of Mwl. Nyerere
24/09/2024
Ilipendeza sana! Hogereni sana wanafunzi wetu, tunawatakia kila la kheri.
19/09/2024
Karibuni sana
11/09/2024
All the best Standard VII
30/08/2024
Karibuni kuhamia kwenye shule yetu na mpate PUNGUZO kwenye ADA.
#30%OFF
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Madale Police
Dar Es Salaam
4212
Opening Hours
| Monday | 06:00 - 17:00 |
| Tuesday | 06:00 - 17:00 |
| Wednesday | 06:00 - 17:00 |
| Thursday | 06:00 - 17:00 |
| Friday | 06:00 - 17:00 |
| Saturday | 06:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 13:00 |