Weekend Njema Kwenu
Nyote
Darasa Huru
Njoo usome BIOLOGY,CHEMISTRY,PHYSICS,MATHEMATICS,HISTORY,na mengineyo sasa.
02/01/2018
AFYA BORA YA VIUNGO (Joints) NA MIFUPA
Una MIGUU inakusumbua au MAUNGIO yoyote ktk mwili?..Ondoa shaka sasa..unaweza kusaidika.
¤Forever Freedom ni kinywaji chenye Aloe vera, Glucosamine Sulphate, Chondroitin Sulphate, MSM(methylsulphonyl methane), ascobic acid (Vitamin C) na tocopherol (Vitamin C). Glucosamine Sulphate na chondroitin sulphate zinazopatikana kwenye cartilage (kole jeupe linalotenganisha mifupa)
Zinasaidia kulainisha viungo ili kuzuia maumivu ya kusuguana kwa mifupa katika viungio, tatizo linasumbua wanawake na wanaume wengi wenye umri mkubwa kwa kuwa mwili unakuwa unashindwa kuzalisha ute (synovial fluid) inaolainisha viungio hasa miguu.
Hivyo kwa kutumia kinywaji hiki husaidia mwili kutengeneza ute huo na kufanya mifupa isichakae kwa kurudisha maji maji yaliyopo katikati ya viungo kwa kulainisha viungo na kuondoa maumivu na uvimbe.
Hufaa pia kwa wanamichezo hivyo inashauriwa mwanamchezo au mtu anayejihusisha na mazoezi kutumia bidhaa hii ili kuendelea kuwa na huu ute unaopunguzwa kwa msuguano mkubwa wakati wa mazoezi.
Husaidia kupunguza kasi ya uzee ( anti ageing)
-Sulphur inayopatikana humu ni organic sulphur.
¤Forever Active HA ina hyaluronic acid yenye sifa za kuongeza unyevu na kulainisha.Pia ina mafuta ya tangawizi na ukwaju zinazosaidia kuboresha maungio na kuongeza unyevu kwenye ngozi.
☆Kuwa mwenye viungo imara na ngozi nzuri kwa kutumia bidhaa bora zisizo na kemikali za viwandani..
Kwa ushauri na mawasiliano tufikie kwa namba hizi....0744738522.
Au andika namba yako hapa chini tukupigie.
02/01/2018
GIN-CHIA NI MUHIMU SANA KWA AFYA YAKO KUWA BORA NA IMARA.
GIN-Chia ni bidhaa iliyotengenezwa kiasilia ikiwa ni mchanganyiko wa Ginseng na Golden Chia.
Golden Chia imekuwa inatumiwa na Wahindi wa kusini-Magharibi wa Amerika kwa ajili ya kusaidia matatizo ya menopause, kuboresha mzunguko wa damu na kuondoa sumu mwilini ( antioxidant)
Ginseng inajulikana k**a "King of Tonic" kwa kuwa ina hormones saba ikiwemo saponins ambayo ni antioxidant na huondoa msongo wa mawazo (Mood).
Ina vitamin A, B1, B2, B12, C na D, Calcium, Iron, Sodium, Potassium, Zinc, Copper, Magnesium na Manganase hivyo husaidia kuongeza stamina na nguvu ya kustahimili.
Mchanganyiko huu unafanya bidhaa kuwa na zifuatazo:
1. Husaidia kuepuka magonjwa ya moyo.
2. Kuboresha mmeng'enyo wa chakula tumboni.
3. Husaidia kuongeza nguvu za kijinsia ( Nguvu za kiume na k**e)
4. Kuongeza nguvu mwilini kwa kuufanya mwili kuwa na stamina ya kutosha.
5. Husaidia kuondoa uchovu mwilini kwa kufanya mishipa kufanya kazi vizuri.
6. Husaidia kuondoa mafuta mabaya mwilini kutokana na kuwepo kwa ginsenoside.
7. Husaidia kupambana na kansa kwa kuzuia viini sumu kuzaliana mwilini.
8. Inaongeza kinga ya mwili kwa kuongeza chembe chembe nyeupe za damu mwilini.
9. Husaidia kuratibu kiwango cha sukari mwilini hivyo husaidia kukiepuka kisukari na wenye kisukari kuratibu kiwango cha sukari mwilini pia.
10. Inapunguza msongo wa mawazo.
Bidhaa hii sio dawa ila ni kirutubisho kinachosaidia mwili kuwa na kinga madhubuti.
Kwa ushauri na mawasiliano andika (comment) namba yako tutakupigia au tufikie kwa # +255744738522
02/01/2018
ALOE BODY TONING KIT
This will assist you to trim; tone; firm and tighten up your body including your Tummy.
It reduces appearance of cellulite on your tummy; thighs or upper arms.
The kit includes
✔Aloe Bath gellee for cleansing your skin using loofah (provided).
✔Aloe Body Toner which has a warming effect- this burns the fats and leaves your skin smooth. Use after Aloe Bath gellee.
✔Plastic wrap- wrap up the affected area after toning.
✔Aloe Body Conditioning creme for skin maintenance.
There is an instruction manual to use.
✔ Lose 2 inches in just 60 minutes
✔ It's used only on tummy, arms and thighs
✔Tightens and firms Sagging Skin after weight loss or pregnancy.
Contact us on WhatsApp # +225 744 738 522
JE WAJUA!? : Mpira wa miguu wa mda mrefu zaidi tangu kutengenezwa!?. Mpira huu uligunduliwa katikati ya miaka ya 1970,uko Scotland(UK) katika ngome inayoitwa Stirling. Mpira huo ulikua wa ngozi na rangi ya kijivu na uligunduliwa katika chumba alichokua anakitumia Mary wa Uskoti(Scots) wakati wa utawala wake mnamo karne ya 16. Tangu apo uliaminika kua ndio mpira wa muda mrefu zaidi duniani kuwai kutengenezwa. Mnamo mwaka 1999 mpira huu ulifanyiwa uchunguzi zaidi katika jumba la maonyesho na makumbusho la "Stirling Smith Art Gallery and Museum" na kuthibitishwa kua na miaka 436 tangu kutengezwa. Unakadiliwa kutengenezwa kati ya mwaka 1540 na 1570. Haijulikani iwapo Malkia alikua anautumia yeye mwenyewe,ila inaaminika ulikua unatumiwa na maaskari na wafanyakazi wa kwenye ngome kuchezea mpira wa mikono. Mpira huu upo adi leo kwenye makumbusho iyo iyo.
21/12/2017
JE WAJUA!? : Mwanamke mwenye kucha ndefu zaidi duniani za mikono yote miwili!?. Anaitwa Ayanna Williams,anapatikana uko Houston Texas Marekani. Alianza kufuga kucha hizo kwa takribani miaka ishirini iliyopita,uku kucha izo zikifikia urefu wa sentimita 576.4 sawa na urefu wa futi 18 na inchi 10.9. "Inanigharimu muda mrefu kufanya jambo lolote,kuriko vile linapofanywa na mtu mwingine yoyote kwa sababu ya kucha zangu",anasema Williams, na kuongeza "Ila kucha izi ni sehemu ya mwili wangu hivyo zitabaki hapa".
Solve for "X".
PHYSICS TOPICS: Form three & four.
PHYSICS TOPICS: Form two.
09/11/2016
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Kariakoo
Dar Es Salaam