14/04/2026
TANGAZO LA AJIRA
MKUU WA TAASISI YA MITAMBO NA TEKNOLOJIA ( IHET),
Anapenda kutangaza nafasi 13 za ajira kwa kada mbalimbali.
Tangazo la ajira https://ihet.ac.tz/publications/18/view
Maombi yote yatumwe kwa email [email protected]
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/04/2026
Kwa taarifa zaidi tembelea website ya taasisi www.ihet.ac.tz
https://ihet.ac.tz/news-updates/career/tangazo-la-ajira
10/04/2026
Kwa wakazi wa Dodoma na mikoa jirani mafunzo ya uedeshaji wa mitambo yanaendelea chuoni Nala Dodoma.
Kujiunga wasiliana nasi kwa simu namba
0711597778 au 0748221919
Au tembelea website yetu www.ihet.ac.tz
07/04/2026
Tunawakaribisha kwenye mafunzo ya uendeshaji wa mitambo ya ujenzi na uzalishaji viwandani, migodini, bandarini na kwenye miradi mbalimbali.
Mafunzo yanaendelea chuoni IHET Tabata Dar es Salaam na Nala Dodoma.
Karibu kujisajili sasa nafasi ni chache
🏗🚜
15/02/2026
ICT programs offered by IHET
31/01/2026
Mafunzo ya uendeshaji wa mitambo.
Tunawakaribisha wote wenye uhitaji wa kujifunza uendeshaji wa mitambo ya ujenzi wa barabara, migodini, viwandani, bandarini, na sehemu mbalimbali za ujenzi na uzalishaji k**a Hydrauric Excavator, Forklift, Motor grader, Mobile Crane na Rigging.
Mafunzo yanafanyika chuoni IHET, Dar es Salaam (Kijitonyama na Tabata) na Nala Dodoma.
Kwa mawasiliano na kujiunga wasiliana nasi kwa simu namba
0754300200 au 0748221919 au tembelea website yetu www.ihet.ac.tz
31/01/2026
Tunawakaribisha wote kwenye mafunzo ya udereva wa magari madogo na makubwa (Heavy Goods Vehicle Driving)
Jisajiri sasa
Mafunzo yanaanza February 2 2026, wahi sasa nafasi ni chache
Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0754300200 / 0748221919 au tembelea website yetu www.ihet.ac.tz
Karibuni sana.
20/09/2025
Tunawakaribisha wote kujiunga na mafunzo ya uendeshaji wa mitambo (Heavy duty equipment operation).
Mafunzo yanaendelea jiunge nasi sasa kupata ujuzi wa uhakika kwa gharama nafuu.
Tembelea website yetu www.ihet.ac.tz kwa maelezo zaidi.
20/09/2025
Lifting Supervisor training 🏗🏗🏗
Only 3 days
Join now
08/08/2025
30% Punguzo la ada Tehama 2025
Certificate na Diploma
Institute of Heavy Equipment and Technology
Experience and Knowledge
06/08/2025
Ordinary Diploma in Information Technology
Duration:
3 Years – For students joining after Form Four (O-Level)
2 Years – For students joining after Form Six (A-Level)
This program equips students with practical and theoretical skills in IT, including computer programming, networking, database systems, and software development. Graduates will be prepared for employment or further studies in the ICT sector.