Non Governmental Primary Schools Organisation (NGOPSO)

Non Governmental Primary Schools Organisation (NGOPSO)

Share

NGOPSO

Is a Non- Governmental Primary Schools Organization that deals with Private schools in Tanzania in terms of Academic performances and other matters pertaining education in Private Schools in Tanznia

02/09/2023

Kwa sisi wahenga
1. Wali na nyama ilikuwa ni kwa ajili ya chrismas au tukio fulani la kusherehekea

2. Mpira wa miguu half time ilikuwa inaamuliwa na idadi ya magoli, kwa mfano bao tatu geugeu. Msipofungana no half time.

3. Jezi ilikuwa timu moja kuvua mashati na nyingine kuvaa.

4. Njumu hazikuwa zinaruhusiwa uwanjani.

5. Goli likizidi kimo cha kipa siyo goli.

6. Penalt inaweza kutengwa hata k**a faulo imefanyika katikati ya kiwanja ilimradi ni faulo mbaya.

7. Wachezaji wote ni waamuzi wenye kushawishi kwa kelele zaidi hushinda

8. Mwenye mpira lazima apewe namba.

9. Mpira utaisha kwa sababu tatu. Mwenye mpira kuitwa nyumbani, giza kuingia au ngumi

10. Kulikuwa na nguo rasmi za jumapili na ndiyo siku ambayo kila mtu ataoga.

Nikumbusheni mengine.

Muhenga Moses

09/01/2023

NEWS FROM MOFET

Wakala rasmi wa vitabu vya taasisi ya Elimu Tanzania. Pata vitabu kwa idadi unayotaka kutoka kwetu. Tupo Mwenge Mpakani, huna sababu ya kwenda kuibiwa Kariakoo. Tuna vitabu vya kampuni nyingine pia KBP, MEP, LONGHORN, APE na wengine.

Tunaaminika, mikoani tunatuma. Tupigie 0714414282, au 0767414284

05/07/2022

Karibu tushiriki sote

28/10/2012

Mambo ya ajira za walimu kwenye Ngopso yawekwe hapa

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


P. O. Box 75875 Dar Es Salaam
Dar Es Salaam