JENGA MWILI

JENGA MWILI

Share

“Nawasaidia wanawake wa miaka 35–50 waliopata watoto kupunguza belly fat kwa kurekebisha homoni na metabolism bila mazoezi makali na diet za mateso.”

09/06/2026

Uzito kupitiliza hauishii kwenye mwonekano pekee...

Unaweza kuhusishwa na:

• Kisukari cha Aina ya 2
• Shinikizo la Juu la Damu
• Fatty Liver
• Matatizo ya Homoni
• Magonjwa ya Moyo

Unahitaji msaada wa Bure kwa siku 3? K**a ndio tuma ujumbe kwenda whatsap namba 0763 463 853

08/06/2026

Umehangaika na Diet, Mazoezi na hata kujinyima kula? Na hujapata matokeo yoyote na mbaya zaidi Baada ya muda unarudi pale pale?

K**a ndio Basi tupo kwa ajili yako leo.

Tuna darasa na program ya usimamizi ya siku tu kwa ajili yako

Gusa link hapo kujiunga nasi ili upate darasa na usimamizi wa bure kwa siku 3.

06/06/2026

Kabla ya kujiunga na program kiukweli nilikuwa nimeshajikatia tamaa kwa sababu kila mtu aliniambia ni mwili wa uzazi na hauwezi kupungua. Nashukuru baada ya kuona page yako na kuamua kukufuatilia ndipo nilipopata tumaini jipya na kujiunga na program pamoja na kutumia Mofit ambayo nainywa kabla ya kula chochote asubuhi inafanya nisisikie njaa ya mara kwa mara lakini pia kabla ya kulala inanifanya napata usingizi mzuri sana.
Shida ilikuwa ni kitumbo cha chini(uzazi) ukanishauri mazoezi,naendelea na mazoezi na matokeo nayaona Alhamdulillah 🤲
Kutoka kwenye uzito wa faru John (just a joke 🤣) hadi 68.7 nisingeweza bila usaidizi wako but kwa huku kung'ang'aniwa kwa sasa hivi na huyu mwanaume naiona mimba ileeeeee!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ahsante mno kwa kurudisha furaha yangu🙏

*Nikinukuu maneno ya hisia kutoka kwa Mteja wetu*

Vipi nawewe unakwama na unene wa kurithi au wa kunyonyesha? K**a ndio wasiliana nasi whatsap 0763 463 853 kwa msaada zaidi au Dm kwa msaada zaidi na ushauri

04/06/2026

Ukiweza kupunguza kg10 katika kilo ulizo nazo kwa sasa utajihisi vipi??

31/05/2026

*Unapata shida kwa sababu hujatatua chanzo cha unene wako*

Hebu anza sasa kutatua chanzo hicho ukifanikiwa Basi umetibu tatizo lako.

Unakwama wapi kutibu changamoto ya uzito kupitiliza ?

Kwa sasa tunaweza kukusaidia kutatua changamoto yako ya uzito kupitiliza kupitia program zetu usimamizi Binafsi kwa ushauri na maelezo zaidi wasiliana nasi 0763 463 853

30/05/2026

Unafikiri kitu gani kimekufanya uongeze mafuta mwilini?

1.Kula vyakula visivyo sahihi
2.kula sana
3.kutofanya mazoezi
4.kulala sana?

Share Nasi hapo tujifunze....

29/05/2026

Unaweza kujaribu...kwa leo

28/05/2026

Unene kwa mwanamke si swala la chakula tu, Bali ni swala linalo husu homoni zaidi ya chakula, yaani wingi au udogo wa chakula si kitu muhimu sana katika kudhibiti uzito wa mwanamke, bali chakula unachokula kina athiri vipi au kina matokeo gani kwa homoni zako hilo ndio jambo muhimu unalotakiwa kulitazama.

27/05/2026

Eid Mubaarak 🐑🤍 Siku ya imani, sadaka na upendo.

26/05/2026

Kesho Eid Nyama ziliwe sana.

K**a kwenu wanachinja alika na wenzio si unajua kuchinjo inafaa ushee na majirani na jamaaa.

Namie pia Jamaa yenu.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Ilala
Dar Es Salaam
255255