KILA MMOJA APENDEKEZE WAFUASI WA YESU ILI KILA SEHEMU WATU WAFIKIWE
PIA MAONI MWAWEZA ANDIKA
Wafuasi WA YESU
Tunaombea watu kwa Yesu wapate kuponywa kila udhaifu
( We pray to Jesus so He can remove people's weakness and difficulties facing them)
NJIA YA KWELI
ZABURI 110:1
NENO LA BWANA KWA BWANA WANGU, UK ETI MKONO WANGU WA KUUME, HATA NIWAFANYAPO ADUI ZAKO KUWA CHINI YA MIGUU YAKO
tu naona adui wataondolewa baada ya Kristo kurudi tena
MATHAYO MTAKATIFU 22 : 44
BWANA ALIMWANBIA BWANA WANGU UKETI MKONO WANGU WA KUUME HATA NIWAWEKAPO ADUI ZAKO KUWA CHINI YA MIGUU YAKO
1KORINTHO 15:25 MAANA SHARITI AMILIKI YEYE HATA AWAWEKE MAADUI WAKE WOTE CHINI YA MIGUU YAKE
EBRANIA 10 : 13 TANGU HAPO AKINGOJEA HATA ADUI ZAKE WAWEKWE KUWA CHINI YA MIGUU YAKE
MWANZO 49:10
FIMBO YA ENZI HAITAONDOKA KTK YUDA WALA MFANYA SHERIA KATI YA MIGUU YAKE HATA ATAKAPOKUJA YEYE MWENYE MILKI
YOHANA MTAKATIFU 14 : 3
BASI MIMI NIKIENDA NA KUWAANDALIA MAHALI, NITAKUJA TENA NIWAKARIBISHE KWANGU ILI NILIPO NANYI MWEPO
EBRANIA 2 : 8 UMEWEKA VITU VYOTE CHINI YA NAYO ZAKE KWA MAANA KTK KUWEKA VITU VYOTE CHINI YAKE HAKUSAZA KITU KISICHOWEKWA CHINI YAKE LAKINI SASA BADO HAMJAONA VITU VYOTE KUTIWA CHINI YAKE
WATU WANADANGAYA WATU WAPO MANABII WAPO MAKUHANI NA WAALIMU ZIPO MADHEHEBU PIA MAKANISA PIA HUDUMA PIA IBADA ZA KILA NAMNA DUNIA NA KILA IMANI WALIZOJITUNGIA WANADAMU WAMEACHA NJIA YA KWELI NA KUJITUNGIA UONGO
YUPO MWENYE HAKI AMBAYE ATAKUJA KUWAONDOA ADUI ZAKE SIO KILA MTU YUPO MMOJA TU KWA HIYO VINAVYOFANYIKA NI UONGO MTUPU KWELI ITAWAWEKA HURU
UZIMA WA MILELE
Nime waandikia katika habari za watu wale wa nao taka kuwapoteza nini.
Adamu alipoteza uzima wa milele baada ya kudanganywa na nyoka ndipo Mababu wakaahidiwq kupewa uzima wa milele ku pita mwana yaani Kristo
Yohana mtakatifu 6:51 mimi ndimi cha kule Chenye uzima kilicho shuka kutoka mbinguni mtu akilachakula hikiataishi milele na chakula nitakachotoa mimi ni mwili wangu, kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.
Soma Yohana mtakatifu 6 : 50-58 , na 12 : 50
Yohana mtakatifu 17 : 22-23
Mimi ndani yao nawe ndani yangu.Ili wawe wamekamilika katika umoja.
Tunaposema Kristo ili shetani asiweze tena kumshinda mwanadamu kwani Yesu ndiye aliemshinda shetani Adamu alikuwa uchi hakuwa na Kristo ndani yake.
Galatia 4 : 19
Vitoto vyangu ambao kwamba nawaona utungu tena mpaka Kristo atakapoumbika.
Ahadi ya uzima wa milele inafikiwa pale tu Kristo atakapoumbika kwa mtu ili a wawe ke adui wote chini ya miguu yake.Efeso 1 : 22, Ebrania 2 : 28.
1 Yohana 2 : 24-25
Nanyi mtakatifu ndani ya mwana na ndani ya baba.
1 Yohana 5 : 12
yeye aliye naye mwana ana huo uzima asiye naye mwana wa Mungu hana huo uzima.
1 Yohana 1 : 5
Hilotulilo liona na kulisikia twawahubiri na nyinyi ili nanyi mpate kushiriki nasi na ushirika wetu ni pamoja na baba na mwana wake Yesu Kristo.
Uzima wa milele unaweka kukamilika kwa mwanadamu mmoja tu ambaye yeye atawasimamia wote atarejesha upya.
Efeso 3 : 9 na kujua upendo wake Kristo upitao ufahamu kwa jinsi ulivyo mwingi mpate kukamilika kwa utimilifu wote wa Mungu. Soma kolosai 3 : 4, 1 : 13, 1: 27, Ebrania 2: 1-13.
Mwanadamu atakaye pokea ahadi amen wisha andikwa tayari.
Ufunuo 19 : 7
Natufurahi, tushangilie tukampe utukufu wake kwa kuwa arusi ya mwanakondo imekuja, na mkewe amejiweka tayari.
Ufunuo 21: 9
Njoo huku Nami nitakuonyesha yule bibiarusi mke wa mwana kondoo.
Siku ile ndipo maji ya uzima watapokea bure.
Ufunuo 22:17
Roho na bibi arusi wanasema njoo! Naye asikiaye na aseme njoo! Naye mwenye kiu na aje na yeye atatakaye na ayatwae maji ya uzima bure.
Wapinga Kristo ni wengi, dini, madhabau, makanisa wameacha njia ya kweli.
YESU NDIYE MUNGU MWENYE NGUVU.
24/04/2020
VISIMA VYA WOKOVU
Isaya 12:3
Basi kwa furaha mtateka maji katika visima vya wokovu.
Muumba wetu anaanzisha visima vya wokovu ili kuwa komboa wanadamu. Adamu ndiye alieleta dhambi duniani na vyote vilivyoubwa vikaharibika vikamilikiwa na dhambi.
Adamu alikuwa mfano wa Mungu yaani sura ya Mungu alipewa uwezo
Mwanzo 1:26 Mungu akasema na tufanye mtu kwa mfano wetu kwa sura yetu.
Adamu aliharibu uzao wa sura ya Mungu baada ya shetani kumdanganya akazaa sura ya kibinadamu ambayo ni nyonge. Mwanzo 5:1-3.
Muumbaji akampa tena agano la kurejesha sura ya Mungu duniani ili wanadamu wamiliki tena. Mwanzo 3:15
Uzao wa Adamu unapokea tena ahadi ya kurejesha upya utakatifu ulio haribika na shetani.
Safari ya wokovu ni ndefu na wanadamu w alipewa kuupigania huo wokovu na sio kila mwanadamu bali waliochaguliwa tu kusimamia wote wale waliochaguliwa waliutaabikia kwa ajili ya vizazi vingine Yohana 4 : 38 .
Vipo vizazi vilivyo pita ambayo vilishindwa kuleta wokovu kabla ya Nuhu na Nuhu mwenyewe alishidwa ndipo Ibrahimu akafunga agano dhabiti na ku pewa ahadi ya kuuridhi huu ulimwengu.
Warumi 4 : 13
Kwa maana ahadi ile ya kwamba mrithi wa ulimwengu atapewa ibrahimu na uzao wake.
Uzao wa ibrahimu unatoka mbinguni
Yohana mtakatifu 1: 13
Waliozaliwa si kwa damu wala si kwa mapenzi ya mwili wala si kwa mapenzi ya mtu bali kwa Mungu.
Mababu ndio wao waliochaguliwa hadi kutoka uzao wa ahadi. Daudi aliimararisha safari ya wokovu na kupewa ahadi baada ya kufanya vizuri alikamilisha hatua ya kufikia wokovu kamili. Zaburi 132 : 11-18
Bwana amemwapia Daudi neno la kweli hata rudi nyuma akalialifu, baadhi ya wazao wa mwili wako nitawaweka katika kiti chake cha Enzi.
Ahadi itatumia pale anapozaliwa Kristo aliyekuwa Kristo aliye sura yake Mungu 2wakorintho 4:4
Kristo anazaliwa katika mji wa Daudi kukamilisha patano.
Luka 2:11
Maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, mwokozi, ndiye Kristo bwana.
Kristo anapewa mamlaka yote ya mbinguni na duniani baada ya kumshinda shetani ana kuwa ndiye mpatanishi kamili .Mathayo 11:27
Ahadi ya Ibrahimu ya kuurithi ulimwengu na uzao wake inakamilika pale nafsi ya mtu inapo umbika Kristo ndani yake.
Yohana mtakatifu 17 : 22-23
Vitoto vyangu ambao kwamba nawaona utungu tena mpaka Kristo aumbike ndani yenu.
Hatua ya mwisho ya kukamilisha safari ya wokovu imeonekana nafsi ambayo ndani yake ataumbika Kristo na Yesu kuwa ndani ya Kristo Ufunuo 19:7, na tufurahi tushangilie tukampe utukufu wake kwa kuwa arusi ya mwanakondo.
HATUA IPI BAADA YA KRISTO
Yohana mtakatifu 17:22-23
Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja k**a SISI tulivyo. 23 Mimi ndani yao, nawe ndani yangu.Ili wawe wamekamilika katika umoja ili ulimwengu ujue ya kuwa ndiwe Uliyonitumia, ukawapenda wao k**a ulivyonipenda mimi
Kristo anathibitisha utimilifu wote wa Mungu utakaa kwa mwanadamu aliezaliwa na baba na mama hii ndio hatua ya mwisho kabisa.
Efeso 3:19
Nakujua upendo wako Kristo upitao ufahamu kwa jinsi ulivyo mwingi, mpatekutimilika kwa utimilifu wote wa Mungu.
Utimilifu wote wa Mungu ni ufalme wake yaani"Roho wa Mungu" ambaye Kristo mwenyewe aliagiza kuutafuta kwanza.
Mathayo mtakatifu 6:33
Bali utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.
Ufalme ni utimilifu wote wa muumbaji. Haki yake ni ile nafsi ilio andaliwa na muumbaji.
Ufalme hautafutwi makanisani ambayo wanadamu wameyaanzisha wala ibada zote zilipagwa kwa mpenzi ya wanadamu bali ufalme huo ulikwishwa taharishwa na njia zake zilisha dhibitishwa tayari.
Utukufu anaachiwa mwanadamu na tayari Biblia inamtambulisha.
UFUNUO WA YOHANA 19:7
Natufurahi, tushangilie, tukampe utukufu wake kwakuwa arusi ya mwanakondoo imekuja na mkewe amejiweka tayari.
Waongo wengi wanasema wametumwa na Mungu ni Waongo ni wachwawi hao wapinzani wa maagizo ya muumbaji nafsi mmoja tu imeshaandaliwa pia kazi ambayo itafanyika baada ya hio nafsi kupewa ufalme ni kuwapa watu maji yaani wokovu.
UFUNUO WA YOHANA 22:17
Na roho na bibi arusi wanasema njoo! naasikiaye na aseme njoo, naye mwenye kiu na aje na yeye atatakaye na ayatwae maji ya uzima bure.
Ahadi hii alipewa Ibrahimu na uzao wake sio kila kila mtu ni uzao wa ibrahimu hapana uzao wa ibrahimu ni uzao mtakatifu.
Warumi 4:13
Kwa maana habari ile ya kwamba mrithi wa ulimwengu atapewa ibrahimu na uzao wake sio kwa sheria bali kwa haki aliohesabiwa kwa imani.
Dunia yote imepotea kwa kuacha njia ya kweli na ahadi zilizotolewa muumbaji aliepatana na rafiki yake Ibrahimu.
Ni lazima hio nafsi ilio pewa huo ufalme ije kwa ahadi sio k**a wanadamu wanavyo zani hapana.
Kila moja arudi na kusubiri ahadi za muumba wetu ni za kweli ndio maana shida hazitatuliwi.
YESU NDIYE MUNGU
MWENYE NGUVU.
AMEN.
NEW CHAIR THROUGH THE DEATH OF CHRIST
The death of Christ gave birth to kingdom and priesthood, which is to bring us back to the kingdom in the body of flesh.
Colossian 1:13 For he has rescued us from the dominion of darkness and brought us into the kingdom of the Son he loves.
The biggest work of Christ was to take us to the kingdom. Now the flesh body will also get a chair as the Spirit body.
Hebrews 10:12-13 But when this priest had offered for all time one sacrifice for sins, he sat down at the right hand of God, and since that time he awaits for his enemies to be made his footstool
Another word which goes with that is;
Psalm 110:1 The LORD says to my lord: “Sit at my right hand until I make your enemies a footstool for your feet”
Read Acts 2:34 – 35, Luke 20:42 – 43, 1 Corinthians 15:25
Christ as a human did only what he was sent to do and fulfilled them, He did not put enemies under his feet for in his gospel He was not sent to do that. Christ said in
John 17:22 I have given them the glory that you gave me, that they may be one as we are one.
Christ is giving Glory from him to the new chair.
Revelation 3:21 To the one who is victorious, I will give the right to sit with me on my throne, just as I was victorious and sat down with my Father on his throne.
The victory of flesh human is to get the new chair and to finish the work of putting all enemies under the gospel given to him. Full salvation of human is only when he is given the new chair which is fulfilling Jesus’s will.
Seek the truth and it shall set you free.
KITI KIPYA KUPITIA KIFO CHA KRISTO
Kifo cha Kristo kimezaa ufalme na ukuhani yaani kuturudishia ufalme kwenye mwili wa udongo
Kolosai 1:3 Naye alituokoa katika nguvu za giza akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa mwana wa pendo lake
Kazi kubwa aliyoifanya mwanadamu Kristo ni kutufikisha kwenye ufalme. Sasa mwili wa udongo nao utapatiwa kiti k**a mwili wa uweza wa Roho ulivyopatiwa kiti.
Ebrania 10:12 – 13 Lakini huyo alipokwisha kutoa kwa ajili ya dhambi dhabihu moja idumuyo hata milele aliketi mkono wa kuume wa Mungu. Tangu hapa akingojea hata adui zake wawekwe kuwa chini ya miguu yake.
Neno lingine ambalo linapatana na hilo
Zaburi 110:1 Neno la Bwana kwa bwana wangu, uketi mkono wangu wa kuume hata niwafanyapo adui zako kuwa chini ya miguu yako.
Soma Matendo 2:34 – 35, Luka 20:42 – 43, 1 Korintho 15:25
Mwanadamu Kristo alifanya yale tu aliyoagizwa na kuyatimiza. Mwanadamu Kristo hakuwaweka adui chini ya miguu yake yaani katika injili yake hakupangiwa kuyafanya hao. Kristo anasema hivi;
Yohana 17:22 Nami utukufu ule ulionipa pia nimewapa wao ili wawe na umoja k**a sisi tulivyo umoja.
Kristo anatoa utukufu kutoka kwake kwenda kwenye kiti kipya.
Ufunuo 3:21 Yeye ashindaye nitampa kuketi pamoja name katika kiti change cha enzi k**a mimi nilivyoshinda nikaketi na Baba yangu katika kiti chake cha enzi.
Ushindi wa mwanadamu wa udongo ndio atapewa kiti kipya na kumaliza kazi ya kuwaweka adui wote chini ya injili atakayopewa. Wokovu kamili wa mwanadamu ni pale tu kiti kipya kitakapokuwa kinafanya mapenzi ya YESU.
Tafuteni kweli itawaweka huru.
WITHOUT THE KINGDOM THERE IS NO PRAYER
For a man to pray and get answers, the Kingdom must be born first.
Matthew 6:33 But seek first his kingdom and his righteousness, and all these things will be given to you as well
It is a must for the kingdom to come, the kingdom has to be seek it just does not come, someone must seek it that is when there will be restoration of the body that Adam lost. When the kingdom come that is when people will be able to pray and be successful, because God promised that the Kingdom will return to the body. That is when God’s nation will be born again since the nation of Israel turned against God.
Matthew 6:9 This, then, is how you should pray: “Our Father in heaven, hallowed be your name. Your Kingdom come.
Jesus is God and He said that the Kingdom must be seek so as to help people to pray. For prayers to reach Jesus, the Lord, the Chair (of the Kingdom) must be present. When Christ sat at the Chair He was able to pray and receive answers. The kingdom first and other things later on. Without the kingdom it is nothing. Some people claim that they are saved, from where? From which chair? People should stop lying being saved is when the chair is present with the body.
Seek the truth and the truth shall set you free.
BILA UFALME HAKUNA MAOMBI
Ili wanadamu waombe na kupata mahitaji yao lazima uzaliwe ufalme duniani kwanza
Mathayo mtakatifu 6:33 Bali utafuteni kwanza Ufalme wake na haki yake na hayo yote Mtazidishiwa
Ni lazima ufalme uje, ni lazima utafutwe hauji bure, ni lazima kuutesekea sana ndipo uweze kurudishwa kwenye mwili wa udongo ambao Adamu aliopoteza. Ufalme utakapokuja ndipo wanadamu wataweza kuomba na kufanikiwa kwa sababu Mungu aliahidi Ufalme utarejea tena kwa mwili wa udongo ndipo taifa la Mungu lizaliwe tena kwani taifa la Israeli waliasi.
Mathayo 6:9 Basi ninyi salini hivi Baba uliye mbinguni jina lako litukuzwe Ufalme wako uje.
Yesu ndiye Mungu aliagiza ufalme utafutwe ili uweze kuwasaidia kwa maombi. Ili maombi yafike kwa Yesu ndiye Mungu ni lazima kiti kiwepo, Kristo alipokalia kiti aliweza kuomba na maombi yakakubaliwa.
Ufalme kwanza ndipo mengine yafuate, bila ufalme ni bure. Wanadamu wengine wanasema wameokoka, Je, wokovu wameutoa wapi? Kwa kiti gani? Acheni uongo wokovu umeamriwa pale patakapokaliwa kiti na mwili wa udongo.
Tafuteni kweli iwaweke huru.
UBATIZO
Mathayo 28:19
Basi enendeni mkawafanye mataifa yote, kuwa wanafunzi, mkawabatize kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Ili ubatizwe hatua ya kwanza ni kuwa mwanafunzi wa Yesu ndiye Mungu, hatua ya pili ni Ubatizo.
Ubatizo wa kweli ni wa jina la Yesu tu.
BABA
Baba ni cheo na jina lake ni Yesu
Yohana Mt 17:11
Baba mtakatifu kwa jina lako ililonipa uwalinde hawa.
MWANA
Mathayo 1;21
Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake YESU
Mwana anaitwa YESU
ROHO MTAKATIFU
Yohana 14:26
Lakini huyo Roho mtakatifu ambaye Baba atampeleka kwa jina langu.
Jina la roho ni YESU
Wanafunzi wa Yesu walibatizwa kwa jina la Yesu tuu.
>Ubatizo wa jina la Yesu umegawanyika sehemu kuu tatu
1: Ubatizo wa maji mengi
2: Ubatizo wa Roho Mt
3: Ubatizo wa Moto
Mathayo 3:11
Kweli mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba bali yeye ajae njuma yangu ana nguvu kuliko mimi wala sistahili hata kuchukua viatu vyake. Yeye atawabatiza kwa Roho Mt na kwa Moto
>Lazima ubatizwe batizo zote tatu ndipo Yesu akae ndani yako
>Ubatizo wa jina la Yesu ndio wa kweli
Dereva wa gari la Yesu
AMENI
BAPTISM
Matthew 28:19
Go ye therefore, and teach all nations, baptizing them in the name of the Father, and of the Son, and of the Holy Ghost:
>To be baptized, the first step is becoming a disciples of Jesus, who is God, the second step is baptism.
>The true baptism is by the name of Jesus only.
>Father is title but his name is Jesus
John 17:11
And now I am no more in the world, but these are in the world, and I come to thee. Holy Father, keep through thine own name those whom thou hast given me, that they may be one, as we are.
SON
Matthew 1:21
And she shall bring forth a son, and thou shalt call his name JESUS: for he shall save his people from their sins.
>Son is called Jesus
HOLY SPIRT
John 14:26
But the Comforter, which is the Holy Ghost, whom the Father will send in my name, he shall teach you all things, and bring all things to your remembrance, whatsoever I have said unto you.
>The name of holy spirt is Jesus
>Disciples of Jesus were baptised in the name of Jesus only.
Baptism of Jesus is divided into three parts
1; Water Baptism
2; Baptism of the holyspirt
3; Baptism of fire
Matthew 3:11
I indeed baptize you with water unto repentance: but he that cometh after me is mightier than I, whose shoes I am not worthy to bear: he shall baptize you with the Holy Ghost, and with fire:
>You must be baptised by all three parts of baptism for Jesus to dwell in you
>The True Baptism is by the name of Jesus
Car driver of Jesus
AMEN
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam