27/08/2023
Yalamlam Islamic Centre - YIC
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yalamlam Islamic Centre - YIC, Education, 50000 Mbagala, chamazi, Dar es Salaam.
27/08/2023
03/07/2023
Jamaa wa YALAMLAM haoooo wanarejea sconga leo Kila la kheri wanangu (Maliha &Hudhaify)
01/12/2019
Uongozi wa Yalamlam unawatakia kila la kheri watoto wetu rasmi kuanza std one 2020 in shaa Allah
TANGAZO!!! TANGAZO!!! TANGAZO
01/12/2018
01/12/2018
Mashaa Allah leo tunawaaga vijana wetu waliohitimu masomo yao ya awali rasmi kwa kuanza std one
12/10/2017
YIC at night
03/07/2017
Leo rasmi mapambano ya kuelimisha vijana wetu maadili mema yameanza kituo kimefunguliwa leo tarehe 3/7/2017 karibuni nafasi bado zipo. (Kauli mbiu yetu mzazi mlete mwanao ajifunze qur-an na sunna kabla ya Kujifunza WHATSAPP )
15/02/2017
Hii ipo makhsusi kwa kuchukulia mahitaji ya watoto sokoni kwa maana nyingine Kituo chetu cha YALAMLAM ISLAMIC CENTRE (YIC) kimejipanga kuuhudumia jamii kwa uhakika
15/02/2017
Hii ni Gari kwaajili ya dharura yeyote itokeapo aidha kwa kuumwa mtoto au kuumia au jambo lolote hapa kituoni kwetu YALAMLAM ISLAMIC CENTRE
15/02/2017
Msijali usafiri ndani ya Yalamlam madrassat & nursery school ni wa uhakika na wa kiwango k**a unavyojua hapa
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
50000 Mbagala, Chamazi
Dar Es Salaam
50000