Unapenda Biblia?

Unapenda Biblia?

Share

https://vm.tiktok.com/ZM2546R6U/ ikiwa unapenda Biblia KARIBU

15/12/2025

UPENDO WA KUPENDA

Mnamo 1979, aliwachukua wasichana tisa Weusi ambao hakuna mtu aliyewataka: kile walichokuwa miaka 46 baadaye kitakuacha kimya…

Dunia ya Richard Miller ilinyamaza mwaka wa 1979 wakati mkewe, Anne, alipofariki. Nyumba yao, ambayo hapo awali ilikuwa imejaa ndoto za kupata watoto, iliachwa tupu. Marafiki zake walipendekeza aolewe tena, lakini alishikilia maneno ya mwisho ya Anne:

"Usiruhusu mapenzi yafe nami. Yape mahali pa kwenda."

Katika usiku wenye dhoruba, hatima ilimpeleka kwenye Kituo cha Yatima cha St. Mary. Huko alipata wasichana wadogo tisa, wote wameachwa pamoja, vilio vyao vidogo vikisikika kwenye korido. Hakuna mtu aliyetaka kuwachukua wote. Kutengana hakuepukiki.

Lakini Richard aliinama, sauti yake ikivunjika, na kunong'ona:

"Nitawachukua. Kila mmoja."

Dunia ilidhani alikuwa mwendawazimu. Wafanyakazi wa kijamii walimtilia shaka. Jamaa zake walimdhihaki. Majirani walinong'ona: "Mzungu anafanya nini kuwalea wasichana tisa Weusi?"

Lakini Richard aliuza mali zake, alifanya kazi zamu mbili, na akajenga vitanda tisa vya watoto kwa mikono. Usiku ukawa chupa, vitulizo, na kusuka nywele karibu na taa ya jikoni. Mapambano yalikuwa mazito, lakini vicheko, hadithi za Anne, na haiba zinazokua za wasichana ziliunganisha familia pamoja.

Kicheko cha kuambukiza cha Sarah. Uovu wa Naomi. Moyo mwema wa Leah. Mmoja baada ya mwingine, walikua wanawake—walimu, wauguzi, akina mama—ambao hawakumsahau mwanaume aliyewachagua.

Na sasa, mwaka wa 2025, Richard anawaangalia binti zake wenye kung'aa waliokusanyika mezani na kuona muujiza ambao Anne aliomba.

"Umehamasishwa na hadithi ya Richard Miller? Sambaza upendo na ufanye mabadiliko leo—kila tendo la wema linahesabika.": angalia maoni ya kwanza 👇

02/12/2025

MATENDO MEMA YAKO KWENYE MATENDO

Mathayo 5:16

Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.

POLENI TANZANIA Mpo katika Ubatizo wa Moto

21/11/2025

KILICHO TOKEA TANZANIA HAKUNA ASIYEKIONA.

DAMU HIZI NI NZITO SANA NA ZINANENA

19/11/2025
18/11/2025

TANZANIA TANZANIA

Yohana 1:5
Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.

MAMBO YA GIZANI yanaumiza sana.

ASANTE Viongozi TANZANIA k**a Mmeamua Hayo Kutokea.

ILA UHAI wa MTU kuutoa Kwasababu Binafsi ni LAANA kwa Mtu binafsi na Taifa

25/10/2025

NI MARUFUKU KULETA MAMBO YA SIASA KANISANI !!!!!

HII IMEKAAJE?.
MTUMISHI YUPO SAHIHI AU.

NAPENDA
NAPENDA
NAPENDA

24/09/2025

MADINI YAPO SOKONI.

KANISA LA ANGLIKANA KUMZIKA ASKOFU MUNGA WA KKKT

Askofu Mkuu Maimbo Mndolwa wa Kanisa Anglikana Tanzania na Dayosisi ya Tanga, tarere 24 Septemba 2025 ataongoza Ibada ya Misa Takatifu ya mazishi ya Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt. Stephen Munga Munga.

Mazishi ya Askofu Stephen Munga aliyefariki dunia Tarehe 20 septemba 2025 yatafanyika ndani ya Kanisa jipya Anglikana Mtaa wa Kujiliwa na Bwana Msumbiji - Maramba Dayosisi ya Tanga mahali alipoamua kuhudumu na kuishi tangu alipohitimisha muda wa utumishi ndani ya Kanisa KKKT.

Kwanza niseme asante familia kuukataa unafiki wa KKKT katika mazishi ya Askofu Munga.

Kanisa la KKKTDayosisi ya Kaskazini Mashariki lilimtenda Askofu Munga kila ubaya, likampaka kila mavi na matope, likamuita kila jina baya kisa tu uchu wa madaraka.

Licha ya waliompaka mavi kupata madaraka bado wakaendelea kumsak**a, wakitaka hata kumpokonya kila alichonacho ikiwemo hadhi yake ya Askofu Mstaafu.

Wakamnyima stahiki zake nyingi ikiwemo stahiki na haki yake ya matibabu.

Wakamuacha katika hali ya ukiwa na upweke akiwa hai na hata akiwa mgonjwa.

Kanisa la ANGLIKANA likaumizwa na hali ile, likaonya na kukemea lakini KKKTDayosisi ya Kaskazini Mashariki ikapuuza na kuendeleza ukatili na unyama kwa Askofu Munga.

Kanisa la ANGLIKANA likakataa kuona Askofu Munga akiishi upweke na uyatima. Likanyoosha mkono wa upendo likasema mpende jirani yako k**a nafsi yako.

Likamhudumia Askofu Munga akiwa hai na akiwa mgonjwa hadi mauti yanamfika ni Kanisa la ANGLIKANA limekuwa likimhudumia Askofu Munga. Ndilo lililomsafirisha kwenda hospitali.

KKKT wakachagua chuki kuliko upendo, wakachagua kumtesa na kumnyanyasa Askofu Munga.

Aisee hii ni aibu na fedheha kwa hili Kanisa. Na bado kuna kondoo wanaendelea kulishwa sumu ya chuki kuhusu Mzee huyu. Aisee!

Aisee Askofu Msafiri Mbilu na wenzako karma ipo na haitowasahau kwa ubaya mliomtenda Mzee huyu utawarudia

Nimalize kwa kuwakumbusha KKKT kuwa asiyewajali wa kwao ni mbaya kuliko asiyeamini.

Remy Cameron
Sauti ya wasio na Sauti Ya Watanzania

31/08/2025

Bwana akamwambia Shetani, Tazama, yote aliyo nayo yamo katika uwezo wako; lakini usinyoshe mkono wako juu yake yeye mwenyewe. Basi Shetani akatoka mbele za uso wa Bwana.

~Ayubu 1:12

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


UKONGA
Dar Es Salaam

Opening Hours

Friday 09:00 - 12:45
Saturday 09:00 - 12:30