Ibnu Zakaria Kagimbo

Ibnu Zakaria Kagimbo

Share

Tunatoa Mafunzo ya kuulea moyo Kwa njia ya maandishi na videos

16/05/2026

DUA NI SILAHA YA MUUMINI

Dua ya kutibu Maumivu ya Mgongo.

15/05/2026

DUA NI SILAHA YA MUUMINI.

Dua ya kutibu Maumivu ya tumbo kwa Maelekezo ya Ahlul-bayt a.s.

12/05/2026

DUA NI SILAHA YA MUUMINI.

Dua ya kutibu Mafua pamoja na Maumivu ya kichwa.

12/05/2026

DUA NI SILAHA YA MUUMINI.

Dua ya kutibu maumivu ya kichwa, kwa mapokeo ya Ahlul-bayt a.s.

Zakaria Kagimbo

03/05/2026

Mwenye kujibu kila analoulizwa ni Kichaa.

26/04/2026
26/04/2026

Sio aibu kuulizwa jambo ambalo huna elimu nalo ukasema sijui kuliko kutoa majibu yasiyo sahihi.

_Kagimbo

21/04/2026

Kila kitu nilicho nacho maishani ni matokeo ya wema na rehema zako, Mungu wangu, na kwa hilo nataka kukushukuru kutoka ndani ya moyo wangu.
Alhamdu-lillahi kwa kila Hali.

11/04/2026

Kila jambo unalotaka kulifanya lazima uwe na ujuzi nalo.

06/04/2026

Neema Za Allah

01/04/2026

Maneno ya kila siku mpya inapochomoza Alfajiri.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam