Ilala Islamic Secondary

Ilala Islamic Secondary

Share

Tunatoa elimu bora ya chekechea, msingi na sekondari kidato cha kwanza hadi sita. Mlete mwanao Ilala islamic apate elimu na malezi bora.

28/12/2025

TUNAENDELEA KUPOKEA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA NA KUHAMIA KIDATO CHA II, III NA V.

24/12/2025

Tunaendelea kupokea Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza na Kuhamia Kidato cha II, III na V

14/12/2025

Mh Prof Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia akiwa Mgeni Rasmi katika Sherehe za Mahafali ya Kuwaaga Wahitimu wa Kidato cha Nne zilizofanyika katika Viwanja vya Masjid Taqwa Ilala Bungoni. Ama hakika yalikuwa ni mahafali ya aina yake. Tunakushukuru sana Mheshimiwa Waziri kwa kujumuika nasi.

12/12/2025

BADO TUNAPOKEA MAOMBI YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2026.





01/04/2025

Tumeshaanza kutoa Fomu za Kujiunga na Kidato cha Tano 2025. Wasiliana nasi UJIPATIE Fomu mapema sana ili upate muda wa maandalizi.



31/03/2025

Tumeshaanza kutoa Fomu za Kujiunga na Kidato cha Tano mwaka huu 2025. Masomo yanaanza Julai 2025.



30/03/2025

Tunawatakia Eid Mubarak nyooote.

Tumeshaanza kutoa fomu za Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2025

30/03/2025

Tukumbuke Zakatul fitr

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


2055
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 17:00
Tuesday 07:30 - 17:00
Wednesday 07:30 - 17:00
Thursday 07:30 - 17:00
Friday 07:30 - 17:00
Saturday 08:00 - 15:00