07/09/2017
Shairi Writter
Fanya ufanyavyo lakini mwisho wako na mwisho wa kila mmoja upokaribu
07/09/2017
10/02/2016
"Many girls passed, but last juwairiya, even call I failed, how kiss i dare? First time I loved, but fail to declare.
Wakazi Wa Tabata Na Magomeni Mwenye Kuhitaji Maziwa Ya TANGAFRESH Kwa Ununuzi Wa Jumla Apige Namba 0717630185 Au 0718634511 Atafikishiwa Mpaka Mlango Kwake.
22/02/2015
♡♥
Maisha€£ hakuna asiyependa♥ uwezo wa kufanya kazi unayoipenda♡ au aliyonayo♥ kwa wakati huu ndio jambo ambalo unatamani lisikupotee◀▶▲▼leo hii umeweza kuamka ktk kitanda☆←☆ chako na umeweza kufumbua macho yako kwa mara nyingine tena.Japo mimi nawe tumeamka salama ila kuna watu mda huu wapo vitandani sikwakupenda bali ni ktk mipangilio ya mwenyezimungu mtukufu.Hivyo basi hatuna budi kumshukuru yeye kwani ndiye anayetupa nguvu na uzima na uchache wa shukrani ni nikusema Namshukuru mwenyezimungu ila shukrani kubwa kufuata amri zake《》~→NAWATAKIA IJUMAA NJEMA
15/01/2015
Kuna siku ancle wangu aliniambia hafikirii k**a kazi mimi naiweza, akimaanisha suwezi kutongoza sikuamini maneno yake kwangu nikajua ule msemo tu k**a misemo mingine.Kumbe wazee wanakuangalia tabia yako kisha wanajua k**a una mwenendo gani na una uwezo gani ktk kufanya jambo fulani.Leo hii naamini maneno ya ancle kwamba mimi siwezi kuaroach na jingine laongezeka kwamba naogopa wanawake...............Nimekuwa nampenda JUWAIRIYA yapata miezi kadhaa sasa lakini mpaka leo sijamtamkia neno lolote kuhusu upendo wangu juu yake kwani anatawala mawazo yangu ya kila siku.Nashindwa nifanye nini ili ujumbe wangu aweze kuupata (《♡zana♥♡ki》][♥♡♥♡4m5

13/01/2015
First time ndugu yangu aliandika "lini utakuwa wangu?" Kwenye wallpaper yake ,lakini mimi natamani kuanadika lini atakuwa wangu kwenye profile yangu ila atajuaje au ujumbe huu utamfikiaje? ndio maswali ambayo najiuliza 'kwandugu yangu ilikuwa rahisi kwani kila siku alikuwa anakutana nae lakini mimi !mara moja kwa mwezi -'":;,?oh!JUWAIRIYA jina lako linatawala mawazo yangu ya kila siku. Jamani rafiki zangu JUWAIRIYA ananichanganya,najuawa naweza kuonekana mshamba kwakuandika haya ila sina budi kwani mwenzenu naumwa kwasababu ya JUWAIRIYA na mpaka sasa sijajua nitapata nafasi vp ya kuongea na JUWAIRIYA ili niwasilishe hisia zangu kwake,najua anasoma ila mimi sipo kwa ajili ya kuharibu masomo yake.Hivyo basi wewe utakae thamini hisia na upendo wangu na unamfahamu JUWAIRIYA niwasilishie hili ,kwani nitazidi konda kwa mawazo♡♥♡♥♡4♥♡♥m♡♥♡♥5♡♥♡z♥♡♥♡♥n♡♥♥♥♡♥♡♥♡k♡♥♡♥♡♥I♡♥♡♥♡♥♡
Ijumaa
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Buguruñi
Dar Es Salaam