18/07/2024
KARIBU SANA 🙏
The Official page of Dar es Salaam Tumaini University (DarTU), a Christ Centred University.
Simply Like this Page for latest news and updates about the University.
18/07/2024
KARIBU SANA 🙏
14/07/2024
12/07/2024
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) , Dkt. Alex Malasusa akifungua mafunzo kwa Watumishi zaidi ya 200 wakiwemo wachungaji na Viongozi waandamizi wa Dayosisi na Majimbo ili kuwajengea uwezo kuhusu matumizi salama ya TEHAMA katika Kanisa.
07/07/2024
Saba Saba Day 💫
03/07/2024
It's not an Exam; It's a Celebration of Knowledge. 💫
Do your best and believe in yourself, you will Succeed, ALL THE BEST 🙏
29/06/2024
Hafla ya Uapisho wa Raisi wa Serikali ya Wanafunzi (DarTUSO) Bi Betisheba Wambura na Makamu wa Raisi wa Serikali ya Wanafunzi (DarTUSO) Bw Richard Tangaliola iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (DarTU).
22/06/2024
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (DarTU) unawapongeza Bi. Betisheba Wambura, Raisi wa Serikali ya Wanafunzi (DARTUSO) 2024 - 2025 na Bw. Richard Tangaliola, Makamu wa Raisi wa Serikali ya Wanafunzi (DARTUSO) 2024 - 2025.
Matthew 20:25-28🙏
29/05/2024
Bwana Shukuru Ally Machupa akiwa katika banda la COSTECH na kifaa cha kutumia mwanga kufukuza ndege mashambani, kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (DarTU) ambacho kimechaguliwa katika kumi bora kushindanishwa kupata tatu bora. Kikiingia katika tatu bora kitafadhiliwa na COSTECH kwa ajili ya uzalishaji kwa matumizi ya wakulima mashambani.
29/05/2024
| Monday | 08:00 - 22:00 |
| Tuesday | 08:00 - 22:00 |
| Wednesday | 08:00 - 22:00 |
| Thursday | 08:00 - 22:00 |
| Friday | 08:00 - 22:00 |