11/06/2026
Mashine kubwa za kufunga/kubana mifuko ya plastic, karatasi ngumu na mifuko mbalimbali. Mashine zipo dukani tayari bei 1,150,000/=.
Tupo Sinza Mori jirani na Delina Appartment, tunatuma mzigo popote ulipo. Simu/Whatsapp 0715316614.
11/06/2026
Tunazo mashine kubwa za kufunga/kubana mifuko ya plastic, karatasi ngumu na mifuko mbalimbali. Mashine zipo dukani tayari bei 1,150,000/=.
Tupo Sinza Mori jirani na Delina Appartment, tunatuma mzigo popote ulipo. Simu/Whatsapp 0715316614.
11/06/2026
Kwa wajasiriamali wanaofunga na kuuza viungo mbalimbali, ubuyu, karanga, ice cream n k ACHANA NA KIBATARI Mashine itakupunguzia pirika nyingi na bidhaa yako itakuwa smart!
Tunazo dukani plastic sealer maalum kwa kufungia vifungashio aina mbalimbali. Bei inatofautiana kwa kuzingatia size ya mashine, Tulinazo dukani sasa ni :-
10cm BEI: 35,000/=
20cm BEI: 65,000/=
30cm BEI: 90,000/=
40cm BEI: 115,000/=
Tunazo pia kubwa (Continuous Sealer 1,150,000/=)
Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment, Simu/Whatsapp: 0715 316 614. Mzigo upo dukani na popote tunatuma
10/06/2026
Mashine ya kusaga nyama, karanga n.k ni ya kusukuma kwa mkono, bei 155,000/= . Mashine ni imara na #32 haitumii umeme.
Tupo SINZA MORI jirani na Delina Apartment. Simu/Whatsapp 0715 316 614, popote tunatuma.
10/06/2026
Mashine ya kusaga nyama, karanga n.k ni ya kusukuma kwa mkono, bei 155,000/= imara na ni stainless steel #32, mashine hautumii umeme.
Tupo SINZA MORI jirani na Delina Apartment. Simu/Whatsapp 0715 316 614, popote tunatuma.
09/06/2026
Viti vya wagonjwa mzigo mpya umeingia tayari, vipo ofisini bei ni 155,000/=, vinakuwa na pot lake lakini pia unaweza kutumia bila poti kwa kukiweka moja kwa moja kwenye sink.
Bei ni 155,000/= tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment. Simu: 0715 316 614.
08/06/2026
Majiko ya umeme (Induction Cooker ) plate moja yanakuja na sufuria yake yenye mfuniko yapo ofisini. Bei ni 115,000/= , umeme ni wa wastani tu.
Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment, Simu/Whatsapp 0715 316 614. Popote tunatuma.
06/06/2026
Mashine ya kukamua asali manual bei ni 595,000/=, Mashine ni za oda kutoka China, oda ni siku 45 hadi 60 utaratibu wa oda mteja unaanza kulipa mwanzoni 70% ya bei mzigo ukifika unamalizia 30%.
Tupo Sinza mori jirani na Delina Apartment, tupigie/Whatsapp 0715316614.
06/06/2026
Mashine ya kukamua asali ya umeme bei ni 995,000/= kwa 1,680,000/=. Mashine ni za oda kutoka China, oda ni siku 45 hadi 60 utaratibu wa oda mteja unaanza kulipa mwanzoni 70% ya bei mzigo ukifika unamalizia 30%.
Tupo Sinza mori jirani na Delina Apartment, tupigie/Whatsapp 0715316614.