Wewe k**a muhitimu wa kidato cha sita, unafahamu kuhusu SCHOLARSHIP ABROAD?
Basi usiwe na wasiwasi YPIT inakuletea fursa za masomo kwa nchi k**a UINGEREZA (UK), GERMANY, DUBAI na nchi nyingine.
Fika sasa ofisini zetu (POSTA, NIC Investment House - 4th floor) au wasiliana nasi kupitia +255 769 227 898
in.motion9
YPIT Consultancies
Education consultancy for Abroad universities
Secure up to 70% scholarships π©βππ
27/05/2026
Tunawatakia wote Eid Al Adha Mubarak, ikawe sikukuu ya heri kwako na wote uwapendao
Tulikua na wasaa mzuri wa ushauri pamoja na wahitimu wa kidato cha sita.
Kupitia sessions hizi, tunawasaidia wanafunzi kupata mwanga kuhusu Career zao, fursa za Scholarship, masomo ya nje ya nchi pamoja na hatua muhimu za kujiandaa na maisha ya chuo pamoja na future yao.
Tunaamini kila mwanafunzi anahitaji mwongozo sahihi ili kufanya maamuzi bora kuhusu maisha yake baada ya kidato cha 6.
Sessions hizi ni BURE, wasiliana nasi.
π +255 769 227 898
πPosta, NIC Investment house - 4th floor.
We had a great session with Form Six graduates, sharing guidance and valuable insights about their future.
Through these sessions, we help students gain clarity about their career paths, scholarship opportunities, studying abroad, and important steps to prepare for university life and their future goals.
We believe every student deserves the right guidance to make confident decisions after completing Form Six.
These sessions are completely FREE β feel free to contact us.
π +255 769 227 898
πPosta, NIC Investment House β 4th Floor
Pongezi kwenu wanafunzi wote mliokwisha maliza mitihani yenu na wale wote mlio mbioni kumaliza mitihani yenu.
Kusoma njee ya nchi sio swala la kukupa stress ama kukutatiza usitimize ndoto zako.
Hivi sasa unaweza kusoma Bachelor of commerce & Bachelor of arts nchini india, na habari njema ni kwamba;
-Kuna ofa ya 100% scholarship kwa wahitimu 10 wa kwanza kufanya nasi udahili kwa masomo ya elimu ya juu njee ya nchi.
-Free Ticket kwa wale wote watakao fanikiwa kwenda kusoma chuo nchini india kupitia sisi.
- Vyuo vyenye ubora na mazingira mazuri kwa ajili ya kujisomea na kutimiza malengo yako ya kielimu.
Wasiliana nasi sasa na tembelea ofisini kwetu kwa ushauri zaidi pamoja na kuanza udahili ili tuweze kutimiza ndoto zako.
π +255 769 227 898
π Posta, NIC Investment house - 4th floor.
Congrats to all students who have completed their exams, and to all those about to finish their examinations.
Studying abroad should not be something that causes you stress or prevents you from achieving your dreams.
You now have an opportunity to study Bachelor of Commerce and Bachelor of Arts programs in India. The good news is:
A 100% scholarship offer is available for the first 10 graduates who complete their higher education application process with us.
Free air ticket for all students who successfully secure admission to study in India through our services.
High-quality universities with excellent learning environments to help you achieve your academic goals.
Contact us today and visit our office for more guidance and to begin your application process so we can help make your dreams come true.
π +255 769 227 898
π Posta, NIC Investment House β 4th Floor.
04/05/2026
Tunawatakia kila la heri vijana wetu wa kidato cha sita kwenye mitihani yao ya mwisho, Tunaamini uwezo wenu na kuamini mtafanya vizuri.
Udahili wa vyuo vikuu nje ya nchi upo wazi kwa fani za;
- Uhandisi (Engineering)
- Udaktari ( Medicine)
- Masoko ( Marketing)
- Logistic ( Usafirishaji)
na nyinginezo nyingi
Wasiliana nasi.
π +255 769 227 898
πPosta, NIC INVESTMENT HOUSE - 4TH FLOOR.
We wish all our Form Six students the very best in their final examinations. We believe in your abilities and trust that you will perform excellently.
University admissions abroad are now open for programs such as:
-Engineering
-Medicine
-Marketing
-Logistics
and many more.
Contact us today:
π +255 769 227 898
π Posta, NIC Investment House β 4th Floor
01/05/2026
Heri ya siku ya wafanyakazi kwa wafanyakazi wote, tunawajali na kuwathamini wateja wetu wote.
Happy Workersβ Day to all workers. We truly care for and appreciate all our valued customers.
Study in UK enjoy Premier League!
Uingereza ni moja wapo ya nchi zinazotoa elimu bora na yenye thamani (uzito) mkubwa duniani,
Kwa wewe unaehitaji kupata elimu bora na si elimu pekee pia na fursa nyinginezo nyingi ikiwemo;
-kufanya kazi huku unasoma,
-Uhakika wa kupata VISA,
-Kupata ufadhiri wa masomo,
-Na wale wote wenye vipaji na wanahitaji kusoma wakiwa wanaendeleza vipaji UK ni chaguo sahihi kwako.
Admissions zipo wazi.
π +255 769 227 898
πPosta, Nic Investment House - 4th floor.
π www.ypitconsultancies.com
The United Kingdom is one of the worldβs leading destinations for high-quality, globally recognized education.
If youβre looking not only for excellent education but also a range of exciting opportunities, the UK offers:
* The opportunity to work while studying
* A strong chance of obtaining a visa
* Access to scholarships and financial support
* Opportunities for talented individuals to study while developing their skills and talents
The UK is the right choice for you.
Admissions are now open.
π +255 769 227 898
π Posta, NIC Investment House β 4th Floor
π www.ypitconsultancies.com
From dreaming to living the reality.
Admission za vyuo vikuu njee ya nchi kwa mwaka wa masomo 2026/27 upo wazi,
- Foundation Program
- Bachelor Program
- Master's Program
- PhD Program
Kwa vyuo bora za nchi kubwa k**a,
- UK
- China
- India
- Turkey
- Cyprus
Na zingine nyingi.
Wakati wa kuishi ndoto zako ni sasa tembelea ofisi zetu tuweze kukuunganisha na elimu duniani.
π +255 769 227 898
πPosta NIC Investment house - 4th floor.
University admissions abroad for the 2026/27 academic year are now open!
We offer:
Foundation Programs
Bachelorβs Degrees
Masterβs Degrees
PhD Programs
Study at top universities in leading countries such as:
UK
China
India
Turkey
Cyprus
And many more
The time to live your dreams is now. Visit our office and let us connect you to global education opportunities.
π +255 769 227 898
π Posta, NIC Investment House β 4th Floor
18/04/2026
"A GATE WAY TO SCHOLARSHIP ABROAD "
Team ya YPIT imepata nafasi ya kukutana na vijana wa shule ya sekondari Msolwa na kuwagusia juu ya fursa mbali mbali juu ya maisha yao ya kielimu baada ya kuhitimu kidato cha sita.
Admission 2026-2027 are open.
Fullfil your education joy.
The YPIT team has been given an opportunity to meet with students from Msolwa Secondary School and engage them on various opportunities regarding their academic paths after completing Form Six.
Admissions for 2026β2027 are now open.
Fulfill your educational dreams.
17/04/2026
π¨ We're Hiring π¨
Send your CV through [email protected] or whatsapp (+255 794 280 200) before 25th April 2026.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Address
POSTA NIC INVESTMENT HOUSE
Dar Es Salaam