Maisha ya Ujana

Maisha ya Ujana

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maisha ya Ujana, College & University, Christianchristopher194@mail. com, Dar es Salaam.

22/12/2023

Masomo endelevu kwa vijana wa Kitanzania Na nje ya Tanzania. Yenye lengo la kuwajenga kielimu, kifkra,NK..

Kijana mwenye ndoto safi hakosi kuwaza juu ya kufanikiwa katika utendaji wake wa kazi. Ama kufanikiwa katika masomo yake,, NK...
Vijana wengi wana vipaji vizuri tu. Ila hawajajua waanzie wapi kuvionyesha.

Mahusiano nayo katika maisha ya ujana ni changamoto, hijapokuwa si kwa wote.
Elimu hizi Na nyinginezo utazipata humu humu ndani ya maisha ya ujana.

Masomo yataanza hivi karibuni.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Culinary Team

Attire

Website

Address


Christianchristopher194@mail. Com
Dar Es Salaam