05/06/2026
BWMHS School Government
2026/27
Benjamin William Mkapa High School ni Shule iliyopewa jina la rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh.
Benjamin William Mkapa kwa heshima kubwa na uthamini wa mchango wake katika ujenzi wa Taifa.Shule yetu ilianzishwa mwaka 1998 na kufunguliwa rasmi tarehe 1999
05/06/2026
BWMHS School Government
2026/27
30/05/2026
Wiki ilopita 22-05-2026 siku ya ijumaa tulibahatika kutembelewa na madaktari bingwa kutoka China kwa ushirikiano na Muhimbili kupitia Taasisi ya KOVA FOUNDATION walitoa huduma ya vipimo mbalimbali vya afya bure kwa watumishi na wanafunzi.
29/05/2026
29/05/2026
Wanafunzi wa kidato cha nne na baadhi ya walimu leo wamewatembelea watoto wenye changamoto za vichwa vikubwa na mgongo wazi katika hospiali ya Muhimbili taasisi ya Moi na wamewapatia mahitaji mbalimbali k**a vile pampas, minara, sabuni za kuogea, dawa za meno na juice na biscuits pamoja na kuwachangia malipo baadhi ya wagonjwa waliokwama kukamilisha kwa ajili ya kufanyiwa operation za vichwa vikubwa.
07/05/2026
Anjela Minja Ex Benjamin W Mkapa High School (2021), ni mtanzania wa kwanza kucheza ligi ya Division 1 nchini Marekani.
23/04/2026
🔥
23/04/2026
Mkurugenezi 🔥
21/04/2026
GNM Cargo aliahidi ametekeleza. Mkurugenzi mtendaji wa GNM Cargo alipofika shuleni hapa kutimiza ahadi yake ya kuleta projector mbili na kompyuta mpakato 10. Shukrani sana kwa GNM Cargo
21/04/2026
Karibu sana siku ya tarehe 20260423 hapa Benjamin W Mkapa Sekondari kwenye uhamasishaji kwa wanafunzi juu ya umuhimu wa kujifunza kozi za urubani. Sambamba na uzinduzi wa club ya urubani (Aviation Club).
Rais wa wanafunzi 2019 (Hassan) Zao la Benjamin W. Mkapa Sekondari. 360
| Monday | 06:00 - 15:00 |
| Tuesday | 06:00 - 15:00 |
| Wednesday | 06:00 - 15:00 |
| Thursday | 06:00 - 15:00 |
| Friday | 06:00 - 15:00 |