Mlima wa Isaka Miracle Centre

Mlima wa Isaka Miracle Centre

Share

MIMC this is the Ministry under Apostle Joshua Protus. Mission of MIMC is:- To show the power, natur

30/03/2024

I have reached 500 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. 🙏🤗🎉

01/01/2024

Apostle Joshua Protas

Neno la mwaka 2024

Ni mwaka wa malaika kutenda kazi ndani ya wanadamu ,mwaka huu Mungu atakufuta kila chozi k**a alivyowatetea kuwatoa Meshaki na Abednego kwenye tanuli la moto, kwa namba nne, yule malaika alipokuja wakawa wanne moto hauku washinda ndivyo itakavyokuwa kwako mwaka huu ,kila moto wa machungu uliopitia utahusahau .Mungu atakuvalisha heshima kwenye maisha yako.Namba nne ni namba ya malaika kutoka mbingu talajia mambo mazuri kutoka mbinguni Mungu atakusaidia.

Mathayo 24:31

Photos from Mlima wa Isaka Miracle Centre's post 02/01/2022

Jumapili Ya Kwanza Ya Mwaka 2022 Mwaka Wa Haki... Haki Huinua Taifa Mwaka Huu Ni Kutawala Wenye Haki.

Photos from Mlima wa Isaka Miracle Centre's post 01/01/2022

Mkesha Wa Kuukaribisha Mwaka Mpya 2022

Photos from Mlima wa Isaka Miracle Centre's post 18/10/2021

Jumapili Tar 17 Hitimisho Ya Semina Ya Roho Mtakatifu ... Mungu Ametenda Tena 😇

Photos from Mlima wa Isaka Miracle Centre's post 29/08/2021

Jumapili Ya Baraka Ibada Ya Mafuta Ya Kibali Mungu Yuko Kazini 💪

17/08/2021

Madhabahu Ya Betheri International Church Inakualika Kwenye Maombi Na Mfungo Kuombea Taifa Ni Mfungo Wa Week Nzima Mwisho Itakuwa Jumapili!

Photos from Mlima wa Isaka Miracle Centre's post 16/08/2021

Siku Ya Mwisho Ya Semina
Ya Ukombozi Toka Kwenye Mzimu Ya Ukoo! Na Prophet Debora Toka Congo

Photos from Mlima wa Isaka Miracle Centre's post 01/08/2021

Jaribu Lako Linavyoweza Beba Hatima Yako!! 1 Samweli 1-7

27/07/2021

Nilikuja dar kwa ajili ya matibabu baada ya vipimo nikaambiwa Nina Moyo mpana natakiwa kufanyiwa operation Ila baada ya maombi siku ya operation nikapimwa tena nikaambiwa shida yangu sio kubwa nikapewa dawa tu!

27/07/2021

Nipata tatizo kazini Mimi Ni Engineer nilianguka kwenye jengo nikavunjika uti wa mgongo... Nashukuru Mungu nimepona na ni mzima kabisa

Photos from Mlima wa Isaka Miracle Centre's post 25/07/2021

Sunday Service Kwenye Madhabahu Ya Bwana Betheli International Church!

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Mbezi Makabe
Dar Es Salaam