Hivi ndivyo unapaswa kuzungumza pale unapokuwa kwenye mazungumzo rasmi.
Mtumba English
12+ yrs in Helping Professionals Overcome Anxiety and Speak with Confidence | Your Brother In English 🤝
Ukweli ni kwamba huwezi jua kuongea kiingereza kwa miezi mitatu UNLESS upo kwenye programs zetu ambapo tunafanya yafuatayo.
1. Unaingia zaidi ya kipindi kimoja kwa siku - Ili uongee kiingereza unahitaji kuwa na zaidi ya kipindi kimoja kwa siku hii itaongeza kasi yako ya uelewa na kukujenga kwa muda mfupi zaidi.
2. Kipaumbele kiwe kuongea - Kwenye programs zetu mtu ana anza programs za kuongea siku ya kwanza anapoanza hii inafanya mtu azoee kuongea mapema.
3. Vipindi vingi vya kuongea - Kwenye programs zetu kuna sessions za kuongea zaidi ya 10 kwa siku na mwanafunzi ana ruhusiwa kuingia vipindi vingi kadri anavyopata muda ili kujenga CONFIDENCE, FLUENCY & PRONUNCIATION
Tufuate WhatsApp sasa 0753 544 544 ili ufanyiwe LEVEL CHECK ya kujua level yako, programs unazotakiwa kufundishwa na ada.
Hizi ndio sehemu ambazo unapaswa kutumia GOOD IN, jifunze na utunge sentensi.
Ukiwa kwenye kikao au mkutano hizi ndio sentensi nzuri kuanza nazo. Jifunze hapa na utunge sentensi
Nini tofauti ya START & GET STARTED? Jifunze hapa na utunge sentensi.
27/05/2026
Eid Mubarak, simu za pilau ziite ndugu zangu ukinialika nakuja na kitabu cha grammar mpaka namaliza pilau na wewe unakuwa ushapata chochote kitu WIN WIN 😁
Zimepatikana nafasi chache kwa ajili ya programs za kiingereza cha kuongea (CONFIDENCE & FLUENCY) zinazo anza jumatatu yangu wiki ijayo. WhatsApp 0753 544 544 ufanyiwe level check tujue changamoto yako, programs unazotakiwa kujifunza na ada.
Ukiachana na WILL kuna njia 4 za kuzungumzia wakati ujao ambazo zinatumiwa zaidi, jifunze hapa na utunge sentensi.
21/05/2026
Mashabiki wa Arsenal tutembee makundi makundi maadui ni wengi sana huko nje.
Haha ndio matumizi sahihi ya “Whom” jifunze hapa na utunge sentensi.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 21:00 |
| Tuesday | 09:00 - 21:00 |
| Wednesday | 09:00 - 21:00 |
| Thursday | 09:00 - 21:00 |
| Friday | 09:00 - 21:00 |