04/04/2012
Elimu ni Shina la Maendeleo
mapambano shule ya msingi ni shule iliyopo eneo la sinza, wilaya ya kinondoni jiji la dar es salaam
04/04/2012
Elimu ni Shina la Maendeleo
Graduates wa 2001!!!!
Tunataka tufanye “get togthr/reunion”! Bring ideas on kamati ya maandalizi n muda wa kufanya???!
ni aje aseee!!! mambo zinakwendaje bandugu? za ktambo kingi watoto wa Mama Hamisi, mama Kilonzo na Mama Uwisso?!!!