st.matthews secondary school

st.matthews secondary school

Share

🔶Best School in #Tanzania
🔶 Pre & Primary | Secondary | High School

Photos from st.matthews secondary school's post 17/04/2026

HUDUMA ZOTE ZA SHULE ZIPO EAST AFRICA COMMERCIAL AND LOGISTICS CENTRE - UBUNGO
—
Karibu upate huduma zote za Shule Ghorofa ya Pili , Chumba namba 7.

Tumesogea Kukuhudumia!
Tupigie #0735510003

HighSchool
Elimu Malezi Usalama
Sabasaba 2025

17/04/2026

HUDUMA ZOTE ZA SHULE ZIPO EAST AFRICA COMMERCIAL AND LOGISTICS CENTRE - UBUNGO
—
Karibu upate huduma zote za Shule Ghorofa ya Pili , Chumba namba 7.

Tumesogea Kukuhudumia!
Tupigie #0735510003

HighSchool
Elimu Malezi Usalama
Sabasaba 2025

12/04/2026

UJUMBE WA ASKOFU DKT. MALASUSA KWA VIJANA WOTE - MPO DUNIANI KWA KUSUDI LA MUNGU
—
Kijana Kumbuka upo Duniani kwa kusudi la Mungu, na kusudi hilo ni Jema Sana.

Asante sana Baba Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa Kanisa la KKKT Tanzania kwa ujumbe mwema ulioutoa kwa Watanzania shuleni St. Matthew’s katika ufunguzi wa Kongamano la Pasaka la UKWATA.


matthews_schools
matthews_schools
matthews_schools

Photos from st.matthews secondary school's post 09/04/2026

LIKIZO TIME KWA WANAFUNZI; NI MUDA WETU WA KUJIPANGA
—
Staff wetu walitumia muda wa likizo fupi ya masomo, Kujipanga na Kujielimisha ili kuwa bora na kutoa huduma bora tunapowaandaa watoto Kufanikiwa katika maisha.

Asante sana Wakufunzi wetu kwa Uwezeshaji mzuri.



matthews_schools
marksecondaryschool


Photos from st.matthews secondary school's post 09/04/2026

USAJILI WA MASOMO YA KIDATO CHA TANO 2026 - UNAENDELEA
—
St. Matthew’s Secondary ni miongoni mwa shule chache za sekondari Tanzania ambazo Mwanafunzi anaandaliwa sio kuajiriwa tu, bali kuwa na uwezo wa kujiajiri na kuajiri wengine kupitia mafundisho ya Elimu ya Maisha, Elimu ya Fedha, Ujasiriamali na Vipaji.

Kwasasa shule inaendelea na Usajili wa Wanafunzi kwa masomo ya Kidato cha Tano kwa tahasusi za PCM, PCB, PGM, CBG, PGM, EGM, ECA, HGE, HGK, na HGL.
Shule ni ya Bweni kwa Wasichana na Wavulana, ipo
Mbagala-Kongowe, mkoa wa Pwani.
Tupigie au WhatsApp namba 0735510003 au 0754698845


matthews_schools
matthews_schools
matthews_schools

09/04/2026

LIKIZO TIME KWA WANAFUNZI; NI MUDA WETU WA KUJIPANGA
—
Staff wetu walitumia muda wa likizo fupi ya masomo, Kujipanga na Kujielimisha ili kuwa bora na kutoa huduma bora tunapowaandaa watoto Kufanikiwa katika maisha.

Asante sana Wakufunzi wetu kwa Uwezeshaji mzuri.



matthews_schools
marksecondaryschool


Photos from st.matthews secondary school's post 01/04/2026

WE ALREADY MISS YOU
—
A School without you, our Successful Students, is so boring, We miss you and Please Enjoy your Holiday!

Sisi ni Elimu, Malezi na Usalama.

24/03/2026

UJUMBE MUHIMU KWA WATU WOTE TANZANIA
—
Kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi za Shule za St. Matthew’s Askofu Florian Katunzi wa Makanisa ya CAG Tanzania aliutoa katika Mahafali ya Kidato cha Sita 2026.


Follow us for more
matthews_schools
matthews_schools
matthews_schools

Photos from st.matthews secondary school's post 22/03/2026

ASANTE KWA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
—
Tumekuwa na ushirika mzuri chini ya uongozi wa Jumuiya ya Waislamu shuleni kuhakikisha watoto wetu wanafundishwa maadili mema na malezi.

Asanteni sana Walimu, Mashehe na Maimamu.

Photos from st.matthews secondary school's post 22/03/2026

ASANTE KWA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
—
Tumekuwa na ushirika mzuri chini ya uongozi wa Jumuiya ya Waislamu shuleni kuhakikisha watoto wetu wanafundisha maadili mema na malezi.

Asanteni sana Walimu, Mashehe na Maimamu.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Mbagala/Kongowe
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00