School of Journalism and Mass Communication: UDSM

School of Journalism and Mass Communication: UDSM

Share

SJMC In 1981, the TSJ was established by an Act of Parliament No. 8. Currently, 300 students are enrolled in various programmes.

The history of the School of Journalism and Mass Communication (SJMC) goes back to 1975 when it was established by the government as Tanzania School of Journalism (TSJ) offering a two-year Diploma in Journalism. With the liberalization of the economy and politics in the 1990s, Tanzania witnessed a tremendous growth of both private and public media. The TSJ could no longer keep pace with the increa

Photos from School of Journalism and Mass Communication: UDSM's post 06/12/2022

Prof. Issa Shivji na Jenerali Ulimwengu leo walikuwa SJMC kuendesha mhadhara wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) kuhusu Azimio la Dar es Salaam juu ya Uhuru wa Uhariri na Uwajibikaji (DEFIR)

Akifungua mhadhara huo Dkt. Mona amewataka washiriki wakiwemo wanafunzi wa shule hiyo kutumia fursa hiyo ya kipekee kujifunza na kuifanyia kazi elimu watakayoipokea.

04/12/2022

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinafanya utafiti fuatilizi (tracer study) ili kifanye upitiaji wa programu zinazotolewa katika vitengo vyake mbalimbali.

Dr. Mona Mwakalinga, Dean na Dr. Gidion Kamfipo tunakuomba ujaze e-dodoso letu k**a wewe ni mhitimu wetu wa B.A, na M.A (Journalism, PRA na Masscommunication) ili tupate maoni yako kuhusiana na programu tunazotoa.
Maoni yako ni muhimu sana. Tunakuhakikishia kwamba taarifa zako zitakuwa kwa ajili ya zoezi husika tu.
Maoni yako yatatusaidia wakati wa kupitia programu zetu zetu.

Zoezi la kujaza *e-dodoso* litachukua muda kidogo ila tunaomba ujitahidi mpaka ufike mwisho na umetuma.

NB: Uanzapo kujaza page ya kwanza ukishachagua SJMC bonyeza "view SJMC survey" na usibonyeze kwenye Next iliyopo page hiyo ya kwanza.

Kwa changamoto Mpigie Fanuel Hume - 0782549992

Karibu ujaze e-dodoso kwa kufuata *kiunzi (link)* hapo chini.

*Asante sana kwa ushirikiano wako.*

https://edodoso.gov.go.tz/index.php/828257

JAMII FORUMS YAENDESHA MDAHALO NA WANAFUNZI WA SJMC KUHUSU USHIRIKI WA VIJANA KATIKA MICHAKATO YA KIDEMOKRASIA

Uongozi wa Jamii umeendesha na unatarajia kuendelea kuendesha mijadala endelevu kwa vijana katika vyuo takribani 8 ndani ya kipindi cha miezi  6 katika kutatua changamoto mbalimbali za vijana  kwenye jamii.

Akizungumza katika mdahalo huo, Mkurugenzi mtendaji wa Jamii Forums Maxence Melo amesema Jamii Forums imelenga kuandaa mijadala endelevu na fikra mbadala vyuoni ili kuwafanya vijana wawe na uvumilivu hususani kwenye siasa na uwezo wa kufikiri zaidi katika utatuzi wa changamoto za  jamii

Aidha, Max amesema kuwa uongozi wa Jamii Forums umefarijika kutoa elimu kwa vijana kwa vijana chuoni hapo kuhusiana na demokrasia  na kuongeza kuwa ushiriki wa vijana katika mdahalo huo umekuwa mpana zaidi kutokana na elimu waliyoipata katika mdahalo huo.

Kwa upande wao wanawanafunzi wa SJMC wamekiri kuwa kupitia ujio wa Jamii Forums chuoni hapo wamejifunza vyema namna ya kuwasilisha mawazo yao mbele za watu katika hafla mbalimbali 02/12/2022

JAMII FORUMS YAENDESHA MDAHALO NA WANAFUNZI WA SJMC KUHUSU USHIRIKI WA VIJANA KATIKA MICHAKATO YA KIDEMOKRASIA NCHINI

Uongozi wa Asasi ya kiraia inayohusika na uchechemuzi katika haki za kidigitali,kiraia,kidemokrasia,utawala bora na uwajibikaji (JAMII FORUMS) imeendesha na inatarajia kuendelea muendeshamijadala endelevu na fikra mbadala kwa vyuo takribani 8 ndani ya kipindi cha miezi 6 katika kutatua changamoto mbalimbali za vijana kwenye jamii.

Akizungumza Mkurugenzi mtendaji wa Jamii Forums Maxence Melo wakati akiwa katika shule kuu ya uandishi wa habari ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam ambapo Jamii Forums iliandaa mdahalo wa vijana uliohusu nafasi na ushiriki wa vijana katika michakato ya kidemokrasia nchini amesema wamelenga kuandaa mijadala endelevu na fikra mbadala vyuoni ili kuwafanya vijana wawe na uvumilivu hususani kwenye siasa na uwezo wa kufikiri zaidi katika utatuzi wa changamoto za jamii
Aidha Max amesema Uongozi wa Jamii Forums umefarijika kutoa elimu ya kutosha kwa vijana chuoni hapo kuhusiana na demokrasia na kuongeza kuwa ushiriki wa vijana katika mdahalo huo umekuwa mpana zaidi kutokana na elimu waliyoipata katika mdahalo huo.

Grace Mdoe mwanafunzi wa mwaka wa 3 katika shule kuu ya uandishi wa habari amesema kupitia warsha hiyo chuoni hapo wamepata fursa ya kuzungumza na kuwaondoa woga wa kupaza sauti zao kwenye jamii
Vilevile wanafunzi hao wamekiri kuwa kupitia ujio wa jamii forums chuoni hapo wamejifunza vyema namna ya kuwasilisha mawazo yao mbele za watu katika hafla mbalimbali

JAMII FORUMS YAENDESHA MDAHALO NA WANAFUNZI WA SJMC KUHUSU USHIRIKI WA VIJANA KATIKA MICHAKATO YA KIDEMOKRASIA Uongozi wa Jamii umeendesha na unatarajia kuendelea kuendesha mijadala endelevu kwa vijana katika vyuo takribani 8 ndani ya kipindi cha miezi  6 katika kutatua changamoto mbalimbali za vijana  kwenye jamii. Akizungumza katika mdahalo huo, Mkurugenzi mtendaji wa Jamii Forums Maxence Melo amesema Jamii Forums imelenga kuandaa mijadala endelevu na fikra mbadala vyuoni ili kuwafanya vijana wawe na uvumilivu hususani kwenye siasa na uwezo wa kufikiri zaidi katika utatuzi wa changamoto za  jamii Aidha, Max amesema kuwa uongozi wa Jamii Forums umefarijika kutoa elimu kwa vijana kwa vijana chuoni hapo kuhusiana na demokrasia  na kuongeza kuwa ushiriki wa vijana katika mdahalo huo umekuwa mpana zaidi kutokana na elimu waliyoipata katika mdahalo huo. Kwa upande wao wanawanafunzi wa SJMC wamekiri kuwa kupitia ujio wa Jamii Forums chuoni hapo wamejifunza vyema namna ya kuwasilisha mawazo yao mbele za watu katika hafla mbalimbali

30/11/2022

Dr. Judith Wanda na Dr. Victor Eliah wamehitimu shahada za Uzamivu katika Fani ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma

Photos from School of Journalism and Mass Communication: UDSM's post 30/11/2022

Hongera Dk. Issa Mbura kutunukiwa PhD leo kwenye mahafali ya 52.

14/09/2022

Tanzia

Photos from School of Journalism and Mass Communication: UDSM's post 26/08/2022

Congratulations

25/08/2022

Welcome

Photos from School of Journalism and Mass Communication: UDSM's post 18/07/2022
Photos from School of Journalism and Mass Communication: UDSM's post 29/06/2022

#60 years UDSM anniversary🔥









Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Makaburi Street
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00