IHET TZ

IHET TZ

Share

COLLEGE

27/10/2021
18/10/2021

Chuo cha mitambo (IHET). Ni chuo kinacho toa Mafunzo na ujuzi wa mitambo kuanzia darasa la saba na kuendelea.
Chuo kinatoa elimu ya Mitambo k**a excavetor,wheel loader,habour na mobile crane,dozer, forklift na mitambo mingine.
Chuo cha mitambo kina kozi za muda mrefu na muda mfupi ambazo zina muwezesha mtu kupata uzoefu na kupata kazi kwa urahisi.

Chuo kipo kijitonyama kituo cha sayansi mkabala na kanisa la KKKT.

Wote mna Karibishwa Ada zetu ni nafuu sana na zina lipwa kwa awamu mbili . Asanteni Karibuni sana.

Pia kwa Mawasiliano yetu unaweza kutupata kupitia namba zifuatazo.
+225(0)754300200
+225(0)0711597778
+225(0)719348778 au
Email: [email protected]
Instituteihet@gmail .com
Website: www.ihet.ac.tz

09/10/2021

Kwa mafunzo ya kuendesha mitambo MOTOR GRADER
Karibu

IHET on Google 08/10/2021

IHET on Google Find out more about IHET by following them on Google

17/09/2021

WHEEL LOADER OPERATION TRAINING COURSE

Photos from Institute of Heavy Equipment and Technology's post 31/08/2021
31/08/2021

….Upitiaji na ukaguzi wa mitambo katika chuo cha mitambo…

03/08/2021

Tunakukaribisha sasa uweze kusoma kozi za kuopareti Mitambo K**a vile:
wheel loader, excavetor,bulldozer ,crane, motor grader na mingine mingi ili uweze kuchangia katika ujenzi wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo inayoendelea nchini.

Kozi zetu zinatolewa ndani ya miezi miwili tu.
Tuma Maombi yako sasa kupitia www.ihet.ac.tz au fika Chuoni kwa maelezo zaidi.

Chuo kipo Sayansi kijitonyama .
Unaweza kutembelea tovuti yetu
www.ihet.ac.tz barua pepe [email protected]
Tupigie
+255 754 300 200
+255 711 597 778
+255 748 221 919
+255 766 400 111

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


KIJITONYAMA
Dar Es Salaam