Habari ndugu zangu. Fursa nyingine ichangamkie Kuna hekari 6 hapa Mtaa wa Miswe bagamoyo road tokea Mlandizi zinauzwa . Za pamoja , ni tambarare maji umeme vipo karibu, limetambuliwa tu. Kila hekari ni sh, 9Milion. Karibuni ni pazuri nicheck 0656729407
Mount Zion Nursery and Prymary School
Mount Zion is found at Makoka providing with Nursery and Primary school service
Habari zenu humu ndani, mnaendeleaje? Ninaujumbe wenu.
Ndugu zangu Mtaa wa Miswe kata ya Mbwawa wilaya Kibaha Mji. Kuna eneo lenye ukubwa wa hekari Moja , limepimwa Lina plot namba tayari viwanja viko vinne , analiuza sh,Milioni 8 tu. Pazuri sana tambarare, maji yapomita 100, nguzo ya umeme MITA 20. Barabara mpaka kwenye eneo Hilo. Mwenye uhitaji aje in box au anipigie kwa namba hii 0656729407. Mwenye eneo ni mgonjwa njooni tuokoe maisha yake.
Hello friends welcome to our products. ( Seamoss products) You will be surprised the way it works. Make your order from me today. Gel, Juice, rubbing Jelly , soap, hair oil. And much more call me at 0656729407. Karibu
04/08/2024
Wandugu habari zenu! hamjambo! Nimewamiss sana . Leo nimewakumbuka nimewaletea Asali niliyovuna shambani kwangu OG. Na UNGA mweupe mzuri wa muhogo. Karibuni kwa order. Asali Lita 15, 000/= na UNGA wa muhogo kilo 2500/= agiza uletewe Hadi mlangoni. Bei za jumla zipo nipigie kwa simu namba hii 0656729407 karibu sana
10/05/2024
Please for the information call from the contact at 5he contact details
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Website
Address
Kisukuru Makoka
Dar Es Salaam