Shurore Pharmacy

Shurore Pharmacy

Share

We are a Pharmacy in the Buza area. Come to us for high quality medical products and prescription medication. Pharmacy / Drugstore

04/05/2018

Did you know that the items in a first aid kit expire? A first aid Kit contains medicines, creams and other drugs that have expiry dates. Even cotton wool, bandages and plasters have their own expiration date. Make sure that your First Aid Kit is still safe and effective in case you need it! Contact us to examine it and replace items that need it!

Je wajua kuwa vifaa tiba na dawa ndani ya sanduku la huduma ya kwanza hufikia mwisho wa muda wa matumizi?Sanduku la huduma ya kwanza lina dawa, na vifaa tiba ambavyo vina muda wa mwisho wa kutumika. Vifaa tiba k**a pamba na plasta vina tarehe ya mwisho wa matumizi pia. Hakikisha Sanduku lako la huduma ya kwanza lipo katika hali salama na bora muda wowote unaohitaji kulitumia! Wasiliana nasi kwa ajili ya kukagua na kubadili dawa na vifaa tiba vinavyohitaji kufanyiwa hivyo.

04/05/2018

Shurore Pharmacy ni mahali pekee unapoweza kupata huduma hizo zote ndani ya Buza. Ni Sehemu sahihi kwa ajili ya mahitaji yako ya dawa, na vifaa tiba kwa ajili ya majumbani na ofisini. Tunahakikisha Dawa au kifaa tiba tusichokuwa nacho unakipata kabla siku haijaisha. Tafadhali wasiliana nasi kujua k**a tunatoa huduma unayohitaji!

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Buza Nyama Choma Near The Round About
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 22:00
Tuesday 08:00 - 22:00
Wednesday 08:00 - 22:00
Thursday 08:00 - 22:00
Friday 08:00 - 22:00
Saturday 10:00 - 22:00
Sunday 14:00 - 22:00