Nyota Academy

Nyota Academy

Share

Nyota Academy is a team of professional teachers who aim at providing Academic assistance in various

28/11/2020

Habari njema kwa wakazi wa Dar es salaam. . .
NYOTA ACADEMY tunakutangazia kuwa tumeanza kufundisha masomo ya kidato cha TATU kwa vijana waliomaliza kidato cha PILI mwaka huu...

Bei zetu ni nafuu sana...

Tunapatikana Buguruni rozana jirani na chuo cha ufundi cha Bruno.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia ....

0757670986 /
0712152528 /
0621023893 .

Photos 08/11/2020

Kila la kheri kidato cha pili 2020

10/10/2020

Pre-form One 2020.... On progress ... Mwanafunzi atapatiwa T-shirt na kitabu .... Tutafundisha kwa njia ya audiovisual na cards.. Pamoja na njia za kawaida karibuni sana.. Mawasiliano 0757670986 au 0712152528

09/10/2020

Pre-form one!!!!

30/09/2020

Tunapenda kuwataarifu Wazazi/ Walezi wa vijana wanaotarajia kumaliza darasa la saba mwaka 2020 kua tutakua na mafunzo maalum ya kuwaandaa vijana wao kujiunga kidato cha kwanza.

Photos 16/06/2020

Siku ya mtoto wa Afrika 2020. Kauli mbiu ... "Mtoto ni Msingi wa Taifa endelevu: Tumtunze, Tumlinde na Kumuendeleza".

Ndugu mzazi/mlezi muandae mtoto kurejea shuleni mnamo jumatatu ya tarehe 29/6/2020.
Baada ya tamko kutolewa na raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Photos 11/05/2020

Mpatie mwanao nakala yake kwa Tsh 5000 tu. Apate kujiaandaa vyema katika mtihani wake wa kidato cha pili... Ukihitaji nakala wasiliana nasi kwa kupitia namba 0784 24 61 28.

Photos 07/05/2020

Sisi ni zao la UDOM... Zao ambalo hii nchi ilipanda porini ... Zao limechipua na kukua zaidi ya mbuyu... Sisi ni walimu kutoka UDOM na kitu pekee tulichofundishwa kufanya ni kufundisha kwa ufanisi katika hali yoyote. Leo kuna maradhi ya Corona sisi tunafundisha kwa njia ya mtandao ... kwasababu tulifundishwa kufundisha kwa ufanisi ... .

Photos 24/04/2020

Mathematics.... Sample studies content....

Photos 18/04/2020

KARIBU TUKUPATIE HUDUMA ZA KITAALUMA KWA NJIA YA MTANDAO.

kumi kwa wiki (Vipindi viwili kwa siku) # Jumla ya masomo nane # Mtihani siku ya jumamosi

# Masomo yameandaliwa na walimu wenye uzoefu na weredi wa kutoa elimu kwa njia ya mtandao.

Kujiunga na huduma zetu, wasiliana nasi kupitia namba 0784 246128 au 0757 670986

17/04/2020

KARIBU TUKUPATIE HUDUMA ZA KITAALUMA KWA NJIA YA MTANDAO.

- Katika wiki kuna vipindi kumi ambapo kila siku kuna vipindi viwili (asubuhi na jioni).

- Jumla ya masomo yanayotolewa ni nane (8), k**a ratiba tulizozitoa zinavyoonesha.

- Siku ya jumamosi kijana atapatiwa mtihani, atakaoufanya na kusahihishiwa akiwa hapo hapo nyumbani.

- Matini yanaandaliwa na walimu wazoefu na wenye weredi wa kutoa elimu kwa njia ya mtandao.

- Masomo haya yatatolewa kwa njia ya mtandao kupitia email au Whatsapp.
- Kwa mawasiliano tafadhali tuwasiliane kupitia namba 0784 24 61 28 au 0757 67 09 86.
Tufatilie pia kupitia Instagram account yetu ambayo ni nyotaacademy

17/04/2020

Ratiba ya masomo ya mtandaoni... Wakati huu wa janga la Corona.
Huduma zetu za masomo kwa mtandao zinatolewa kwa gharama nafuu mno.
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba 0784 24 61 28. Au 0757 67 09 86.
Jihadhari na Corona kwa kutulia nyumbani.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Dar Es Salaam