My Favourite Dish

My Favourite Dish

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from My Favourite Dish, Religious school, mbagala, Dar es Salaam.

Photos from My Favourite Dish's post 27/10/2024

Tangazo!

πŸ”ͺ Unataka Kuwa Mpishi Mahiri na Kuongeza Ujuzi wa Biashara ya Chakula? 🍲

K**a unahitaji: βœ… Kuongeza ujuzi wa kupika na kupanga milo bora βœ… Kujua fursa na mbinu za kukua katika biashara ya chakula βœ… Kujifunza ubunifu jikoni na siri za mapishi mazuri

Jiunge na Group letu la WhatsApp la 'Mapishi na Ujasiriamali wa Chakula' πŸ“²

Utafaidika kwa: πŸ› Kufundishwa namna rahisi za mapishi πŸ’‘ Kujifunza ujasiriamali na ubunifu wa chakula πŸ“ˆ Kujenga na kukuza biashara yako ya chakula hatua kwa hatua!

Gharama ni Tsh 1,999 tu kwa mwezi - Gharama nafuu kwa maarifa yenye thamani!

Jinsi ya Kujiunga: Tuma SMS yenye neno "Niungee" kwenda WhatsApp namba +255694234374 ili uunganishwe moja kwa moja.

Usikose nafasi hii ya kujifunza na kujenga kipaji chako cha upishi na biashara ya chakula!

19/10/2024

**Karibu kwenye Group la WhatsApp la Mapishi Mbali Mbali!**

Group hili limeandaliwa maalum kwa ajili ya watu wanaopenda kujifunza na kuboresha ujuzi wao wa upishi. Hapa tutakuwa tunashirikiana mbinu na maarifa ya kupika vyakula vya aina zote, kuanzia vitafunwa, chakula cha lunch, dinner, supper, hadi breakfast, pamoja na vinywaji k**a juisi na smoothies.

Tutajifunza mbinu mbalimbali za kupika k**a vile:
- Kuoka (baking)
- Kuchoma (grilling)
- Kuchemsha (boiling)
- Kukaranga (frying)
- Na aina nyingine za upishi

Kila siku tutakuwa na somo jipya na utaweza kuuliza maswali, kushirikisha changamoto zako, na pia kubadilishana mawazo na washiriki wengine.

**Kwa nini ujiunge?**
- Utapata mafunzo ya kina kwa gharama nafuu.
- Utajifunza mapishi ya vyakula kutoka sehemu tofauti za dunia, hasa Afrika.
- Utapata fursa ya kujadili changamoto zako kwenye upishi na kujifunza mbinu za kutatua.
- Utaunganishwa na watu wenye malengo sawa ya kuboresha ujuzi wao wa jikoni.

**Gharama**: Tsh 1,999 kwa kila mwezi.

Jiunge nasi sasa na uanze safari ya kuwa mtaalamu wa mapishi!
Whatsapp: 0694234374
Au bofya
https://wa.me/message/M7JJUY4Y7V6ID1

Photos from My Favourite Dish's post 24/09/2024

**"10 Essential Sauces That Elevate Dishes Around the World"**

17/09/2024
Photos from My Favourite Dish's post 15/09/2024
Photos from My Favourite Dish's post 15/09/2024

"Ever tried Makande? 🍲 This hearty dish is more than just maize and beansβ€”it’s a delicious piece of East African history! 🌍 Discover the rich cultural story behind one of Tanzania’s favorite traditional meals and try out a simple recipe to make it at home. πŸ‘‰ "

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Culinary Team

Attire

Address


Mbagala
Dar Es Salaam