British School tz

British School tz

Share

BRITISH SCHOOL,TUNAFUNDISHA;
FTNA, FORM IV-KURUDIA MITIHAN, Form V na Six mwaka 1, UALIMU WA CHEKECHEA, ENGLISH & COMPUTER COURSE,
cont.0755/0655 400420.

MWENGE DSM, TANZANIA.

29/05/2026

Karibu sana The British school ujiunge na kidato cha I na ll kwa mwaka 1,
Pia Kidato cha III na lV kwa mwaka1.
Wanaorudia mitihani(Resitters)
Wengi sana wametimiza malengo yao British school.
Hata k**a hukumaliza la saba au umekaa nyumban kwa muda mrefu njoo British School uweze kutimiza malengo yako.

Kwa wanaohitaji kurudia mitihan haijalishi ulipata "0" hapa ni sehemu sahihi na tunakuhakikishia ufaulu wa juu kabisa.

Pia tunaendelea kuandikisha;
■ Pre Form V
[ ]Kidato cha V na VI kwa mwaka 1,
]Kozi ya Ualimu wa chekechea kwa ngazi ya cheti.
]Kozi ya Kingereza
[]Kozi ya Computer.

Shule ipo Mwenge Dar es Salaam.
Unaweza kutupigia 0655400420 au 0755400420

27/05/2026

🌙 Eid Al-Adha Njema kutoka British School 🌙

Katika siku hii yenye baraka na upendo, Uongozi wa British School unawatakia wanafunzi wetu, wazazi, walimu pamoja na jamii nzima Eid Al-Adha njema iliyojaa amani, furaha, mshik**ano na baraka tele.

Sikukuu hii itukumbushe umuhimu wa upendo, kujitoa, kusaidiana na kuwa na moyo wa huruma kwa wengine. Tuendelee kujenga jamii yenye maadili mema, heshima na umoja, kwani hayo ndiyo msingi wa mafanikio ya kweli.

Tunawaombea afya njema, furaha katika familia zenu, na mafanikio endelevu katika kila hatua ya maisha yenu.

✨ Eid Mubarak ✨

— Uongozi wa British School

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Mwenge ITV, Opposite Lutheran Church
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 15:00