Hello in Jesus name
Njoo Kwa Yesu Sasa
NJoo kwa yesu ni page inayofundisha neno la Mungu shuuda na vitu mbali mbali
Mungu ni mwema
16/08/2021
Miracle worker
28/01/2020
Hilo nalo litapita
21/06/2019
Mungu ni mwema wakati wote
05/06/2019
Jesus is mine
13/04/2018
Ninajua umechoka,
Mwili na akili zako zinahisi kuchoka; hisia zako zimenyong'onyea kutokana na majaribu na changamoto unazopitia kwenye maisha yako; lakini NAKUSIHI leo USIKATE TAMAA.
Endelea mbele.
K**a Yusufu angekata tamaa wakati ndugu zake wa damu wamemtelekeza na kuonyesha chuki ya waziwazi, asingekuja kuwa waziri mkuu.K**a angejikatia tamaa mapema na kuzimia njiani, asingewasaidia ndugu zake baadae.
Tambua hili, kuna wakati Mungu anatengeneza mazingira ya kukutenga na baadhi ya watu kwenye maisha yako ili ukiinuliwa wasiseme,"ni sisi tumemuinua."
K**a Yesu Kristo mwanzilishi wa Imani yetu asingevumilia mateso ya msalaba, asingekirimiwa jina lipitalo majina yote.
Hivyo basi, leo amua kusimama tena na kujipa moyo.Futa machozi na songa mbele.
Ushindi mkubwa na wenye utukufu hupatikana wakati unahisi umepoteza.
MUNGU YUPO NA WEWE
26/02/2018
Barikiwa
27/07/2017
Mtegemee yesu
26/06/2017
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Mwanza
Dar Es Salaam