13/07/2025
Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA) Prof. Isaya Jairo (wa tatu kulia) akipokea tuzo kutoka kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda kwa kutoa mafunzo kwa watumishi wa TRA na hivyo kusaidia TRA kuvuka malengo ya ukusanyaji wa Mapato Mwaka wa Fedha 2024/2025.