Basihaya Learning Centre

Basihaya Learning Centre

Share

Jiunge nasi kwa kozi za Computer, Biashara, Lugha na nyingine nyingi kwa gharama nafuu kabisaTupo Boko - Basihaya Campsite,

17/01/2019

Basihaya Learning Centre... Computer Courses kuanzia February 1

Photos from Basihaya Learning Centre's post 15/10/2017

Graduation ya form Iv 2017

02/11/2016

Pata mafunzo ya Computer kutoka kwa walimu waliobobea kwa gharama nafuu ..Basihaya Learning Centre

Mobile uploads 16/06/2015
03/03/2014

BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA

TANGAZO
Kaimu Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwatangazia watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) mwezi Novemba, 2014 k**a Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba kipindi cha usajili kwa malipo ya ada ya kawaida (Shilingi 50,000/=kwa wanaojisajili CSEE na Shilingi 30,000/= kwa wanaojisajili QT ) kimeongezwa kutoka tarehe 28 Februari, 2014 hadi tarehe 31 Machi, 2014. Watahiniwa watakaojisajili kuanzia tarehe 1 Aprili, 2014 hadi tarehe 30 Aprili, 2014 watatakiwa kulipa ada ya kawaida pamoja na faini mpaka usajili utakapofungwa rasmi tarehe 30 Aprili, 2014.
Waombaji wote wanasisitizwa kuhakikisha wanajisajili mapema kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya Baraza la Mitihani ya www.necta.go.tz. Kabla ya kujisajili kwenye mtandao, waombaji wanapaswa kwenda kwenye vituo vya mitihani kuchukua namba rejea (reference number) zinazotolewa bure na kulipa ada ya mtihani kwa njia ya Posta au Mpesa.

Imetolewa na:
KAIMU KATIBU MTENDAJI
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA.

Photos 26/02/2014

Basihaya Learning Centre Lyceum High School, Basihaya Secondary School...at the same roof...KARIBUNI

22/02/2014

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA Page : 723

QT 2013 RESULTS FOR : M3782 - BASIHAYA SECONDARY SCHOOL


RESULTS SUMMARY
PASSED = 28
FAILED = 8
-------------

Photos from Basihaya Learning Centre's post 14/02/2014
Photos from Basihaya Learning Centre's post 14/02/2014

Tunajifunza na kuchati pamoja

Photos from Basihaya Learning Centre's post 06/01/2014

Dunia k**a kijiji, karibu tuifunze computer pamoja

Mobile uploads 03/01/2014

Darasa linaendelea, karibu name wewe ujifunze computer

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Boko
Dar Es Salaam
255