Mc Kingu

Mc Kingu

Share

Professional teacher,
Master of ceremony (Mc),
Tv & Radio Presenter,
Host: Power Point of MTAWALA RADIO
https://www.mtawalaradio.online

Photos from Mc Kingu's post 14/04/2026

Mc Kingu Events
Book us 0688464475

Photos from Mc Kingu's post 14/04/2026

Mc Kingu for unforgettable Events

Photos from Mc Kingu's post 02/04/2026

Kuna Watu wanapendana nyie,Unapewa hujaanza hata kupika😅 ,Love

Photos from Mc Kingu's post 01/04/2026

For Booking Call 0688464475
Mc Kingu

Photos from Mc Kingu's post 01/04/2026



"Ukweli unaweza kuwa mchungu, lakini ndio dawa ya mabadiliko".

_Mtu anapokataa kukubali tabia zinazomrudisha nyuma, anajinyima nafasi ya kusonga mbele. Kubali ukweli, jifunze, badilika, ndipo safari ya mafanikio inaanza._

*It's A New Day. Nendeni Kazini.*

01/04/2026

Habari za Leo? Natumaini unaendelea Vizuri sana.

Nikukaribishe kwa Mahitaji ya *MC* | *MUZIKI* Karibu sana *Mc Kingu* Yuko Tayari kukupa Huduma nzuri sana

Tupigie Leo 0688 464475

Follow Instagram


*_KARIBUNI SANA_*

Nisadie Kushare Ujumbe huu....

Photos from Mc Kingu's post 11/03/2026

Asante sana Pastor Joseph Maheda na Mama mchungaji Loveness Edward yenu nilihost Mimi na Hii ni Harusi ya pili tunakutana ukumbini mkiwa k**a Best man na Best lady ,Mmekuwa Baraka sana Kwangu,Mungu awabariki

11/03/2026

*ASANTENI MR &MRS MALIJA KWA KUCHAGUA HUDUMA ZA MC KINGU EVENTS*
☆☆☆☆☆☆☆☆☆
"Uwezo wako haupimwi na ulipo sasa.
Unapimwa na maamuzi unayochukua kila siku."

_K**a leo umechoka - *pumzika,* lakini usikate tamaa. K**a umeanguka - *jifute vumbi,* lakini usibaki chini. Kumbuka, Mti mkubwa haukuota kwa siku moja. Na labda wewe uko kwenye hatua hiyo ya “kuzikwa” - *lakini sio mwisho wako* ni maandalizi ya kukua. Ulianza k**a mbegu iliyozikwa gizani. Leo chagua *kusonga mbele.* Chagua *kujiamini.* Chagua *kuwa bora* kuliko jana._

*_It's A New Day. Nendeni Kazini._*

Photos from Mc Kingu's post 11/03/2026

Mmekuwa zaidi ya K**ati ,Zaidi ya ndugu ,zaidi ya Marafiki Kwangu ,Nawapenda sana watu wa Mji WA Makimbilio Chriss Chile Calvin Mande , Mariam Abeid ,Winnie Kaaya , @

Photos from Mc Kingu's post 11/03/2026

* .*
☆☆☆☆☆☆☆☆☆
"Maisha yanahitaji moyo wa subira na akili ya kuchagua".

_Kuvumilia si kukubali kila kitu, bali ni kuchagua kwa hekima nini kinastahili kusubiri muda wake. Vumilia mchakato unaokujenga, lakini usivumilie kinachoua ndoto yako._

*It's A New Day. Nendeni Kazini*

Photos from Mc Kingu's post 10/03/2026

*

&MrsMalija
☆☆☆☆☆☆☆☆☆
"Mafanikio hayapimiwi kwa umri bali kwa uamuzi wa kuanza na kuendelea".

_Maisha hayachelewi, maisha huendelea kila siku na kila siku unayochukua hatua ni siku inayokusogeza karibu na mafanikio_

*It's A New Day. Nendeni Kazini.**

&MrsMalija
☆☆☆☆☆☆☆☆☆
"Mafanikio hayapimiwi kwa umri bali kwa uamuzi wa kuanza na kuendelea".

_Maisha hayachelewi, maisha huendelea kila siku na kila siku unayochukua hatua ni siku inayokusogeza karibu na mafanikio_

*It's A New Day. Nendeni Kazini.*

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Sinza
Dar Es Salaam