19/02/2019
Venus Schools
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Venus Schools, Education, Dar es Salaam.
19/02/2019
BBC News Swahili | Denmark yasitisha msaada Tanzania kutokana na kauli dhidi ya wapenzi wa jinsia moja - https://www.bbc.com/swahili/habari-46213256?ocid=wsswahili.chat-apps.in-app-msg.whatsapp.trial.link1_.auin
Morning Tanzania!
14/10/2015
Mwl Julius Kambarage Nyerere said "One of the greatest enemy is ignorance " that is lacking of education!Happy day!
14/10/2015
Good morning!
12/10/2015
Tunahitaji mabadiliko ili tuwe na Tanzania huru!
Mabadiliko ndiyo maendeleo yenyewe.
Ili tupate maendeleo hatuna budi kuwekeza na hasa uwekezaji wenye tija.Moja ya uwekezaji muhimu ni ELIMU.
Taifa lolote duniani lililoendelea kiuchumi & hata kitechnologia lazima limewekeza katika elimu kuanzia Pre Schools mpaka Universities!
Rais wa kwanza wa Africa kusini na mpigania uhuru watu weusi dhidi ya udhalimu wa makaburu Be.Nelson Mandela alipata kusema"Education is only weapon that can be used to change the world"Elimu ni silaha pekee ya KUIBADILISHA DUNIA.
ELIMU BORA, MABADILIKO YA KWELI!
12/10/2015
Experience the diffence with Venus pre & primary schools.Registration is on going,enroll your child now.
11/10/2015
Tunahitaji mabadiliko ili tuwe na Tanzania huru!
Mabadiliko ndiyo maendeleo yenyewe.
Ili tupate maendeleo hatuna budi kuwekeza na hasa uwekezaji wenye tija.Moja ya uwekezaji muhimu ni ELIMU.
Taifa lolote duniani lililoendelea kiuchumi & hata kitechnologia lazima limewekeza katika elimu kuanzia Pre Schools mpaka Universities!
Rais wa kwanza wa Africa kusini na mpigania uhuru watu weusi dhidi ya udhalimu wa makaburu Be.Nelson Mandela alipata kusema"Education is only weapon that can be used to change the world"Elimu ni silaha pekee ya KUIBADILISHA DUNIA.
ELIMU BORA, MABADILIKO YA KWELI!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam