03/07/2018
HOSPITALI ZA MIKOA, RUFAA SASA MIKONONI MWA MHE. UMMY MWALIMU
HOSPITALI 28 za rufaa na mikoa nchini zenye watumishi 8,671 na vitanda 7,474 zimeanza kusimamiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto tangu juzi Julai 1, 2018.
03/07/2018
MWANAMKE 'ALIYEKUFA' AFUFUKIA MOCHWARI
Mwanamke mmoja nchini Afrika Kusini amezua taharuki baada ya kupatikana akiwa hai katika jokofu la kwenye chumba cha kuhifadhia maiti.
03/07/2018
MFUNGWA SUGU ATOROKA MAGEREZA KWA KUTUMIA HELIKOPTA NCHINI UFARANSA
Rédoine Faïd, ni mfungwa sugu ambae anafahamika vema katika ofisi za magereza nchini Ufaransa. Mfungwa huyo kwa mara nyingine ametoroka magaereza kwa kutumia helikopta Jumapili majira ya asubuhi.
03/07/2018
ASKOFU MKUU KANISA KATOLIKI AUSTRALIA AFUNGWA JELA MIAKA 12
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini Australia, amefungwa jela miezi 12 kwa kutoripoti kesi za unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto miaka ya 1970, zilizofanywa na kasisi wa Kanisa hilo.
03/07/2018
UMOJA WA AFRIKA WAKUBALIANA KUSHUGHULIKIA SUALA LA WAHAMIAJI
Viongozi wa Umoja wa Afrika wamekubaliana kuunda bodi maalum itakayosaidia, kushughulikia masuala ya wahamiaji lakini pia kuthathmini sera za uhamiaji katika mataifa ya Afrika.
03/07/2018
BETWAY YAFADHILI SHS 20 MILIONI TAMASHA LA GOLDEN HEART LA BEBE COOL
Kampani ya bahati nasibu, Betway ya nchini Uganda imetangaza kushirikiana na msanii wa miondoko ya regge, Bebe Cool kwa kumchangia kiasi cha Milioni 20 pesa za Kiganda kuhakikisha anafanikisha tamasha lake kwa ajili ya kuchangia watoto wenye matatizo ya moyo.
03/07/2018
AMBER LULU NA PREZZO SASA BAAASI, ASEMA MAPENZI YAMEMSHINDA
Mwanadada Amber Lulu amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hana muda wa mapenzi tena na yameshamchosha kwahiyo anaona bora achane nayo na kubaki kuwa single kuliko kuenedelea kukaa katika mapenzi kwa sababu sio mapya na hayamuingizii kitu chochote katika maisha yake.
03/07/2018
HOPE FOR ENDANGERED GREVY'S ZEBRA AS CENSUS SHOWS POPULATION RISING
The endangered Grevy’s Zebras have defied all odds, increasing in number from 2,350 in 2016 to 2,812 in January 2018, results from the latest count show.
03/07/2018
AY KUNUNUA JUMBA LA KIFAHARI MJINI FLORIDA
Msanii mkubwa na wa siku nyingi Ambwene Yesaya inawezekana akawa na mjengo mkubwa nje ya nchi hii ikisemekana kuwa nyumba hiyo inapatikana katika jiji la Florida nchini Marekani.
03/07/2018
TANZIA: MBUNGE WA KOROGWE VIJIJINI, STEPHEN HILARY NGONYANI (Prof. MAJI MAREFU) AFARIKI DUNIA
Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM) Mh Stephen Hilary Ngonyani (Profesa Maji marefu) afariki dunia. Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umethibitisha.
03/07/2018
'JAMES MWANGI' MTU NADHIFU ZAIDI AFRIKA
James Maina Mwangi ni mzaliwa wa Muranga kati kati mwa Kenya anasema aliondoka nyumbani kwao na kuelekelea jijini Nairobi kutafuta riziki akiwa na umri wa miaka 12 baada ya kusoma hadi darasa la sita.
13/06/2018
GIGY MONEY ADAI ETI DIAMOND NI BABA WA MWANAE
Msanii wa Bongo Gift Stanford maarufu k**a Gigy Money amerudi tena Kwenye headlines huku safari hii akidai Baba wa mtoto wake MK staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz.