22/10/2025
π Habari Njema! π
Tunapenda kuwajulisha kuwa Shule ya Awali na Msingi Boanerges sasa imefungua rasmi Shule ya Sekondari! π
Tunaendelea kutoa elimu bora yenye nidhamu, maadili na malezi mema sasa hadi ngazi ya sekondari. π«
π Usajili unaendelea!
Kwa maelezo zaidi, tembelea ofisini kwetu au wasiliana nasi kwa [0718082738/0672433249].
22/10/2025
22/10/2024