Mzumbe University-DCC

Mzumbe University-DCC

Share

Official Mzumbe University Students Organization (MUSO) Dar Es Salaam campus news page. "The Hub of Information"

Photos from Mzumbe University-DCC's post 12/01/2026

Baraza la Serikali ya Wanafunzi, Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Dar es Salaam (MUSO) – 2025/26









12/01/2026

Baraza la Serikali ya Wanafunzi, Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Dar es Salaam (MUSO) – 2025/26









12/01/2026

Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoka kwa Rais wa MUSO – DCC, Mh. Emmanuel Matondo









12/01/2026

Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar, kutoka kwa Rais wa MUSO – DCC, Mh. Emmanuel Matondo









01/01/2026

Katibu Mkuu wa MUSO-DCC anawatakia wanafunzi wote mwaka wa mafanikio kimasomo, nidhamu na baraka tele.








01/01/2026

Heri ya Mwaka Mpya 2026 kwa wanafunzi wote.

Waziri Mkuu
MUSO–DCC









01/01/2026

HERI YA MWAKA MPYA 2026!

​Makamu wa Rais wa MUSO-DCC, Joyce Chrispine, anawatakia wanafunzi, wafanyakazi, na wadau wote heri ya Mwaka Mpya.









01/01/2026

Spika wa bunge MU-DCC anawatakia Waheshimiwa Wabunge wote na wanafunzi mwaka uliojaa uthabiti, ustawi, na mafanikio.

Heri ya Mwaka Mpya 2026!









01/01/2026

Heri ya Mwaka Mpya 2026!

Rais wa MUSO - DCC , Mh. Emmanuel Matondo, anawatakia wanafunzi wote wa Mzumbe mwaka wenye mafanikio makubwa kitaaluma na katika maisha binafsi. Tuutumie mwaka huu kutimiza malengo yetu kwa bidii.









25/12/2025

🎄 Merry Christmas & Happy New Year 2026! ✨

Mzumbe University – Dar es Salaam Campus, through MUSO, wishes everyone a joyful festive season and a successful New Year ahead!









Photos from Mzumbe University-DCC's post 13/12/2025

Umoja na ushirikiano wa Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe (MUSO) kutoka Ndaki za Morogoro, Mbeya na Dar es Salaam, uliojitokeza wakati wa Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu Mzumbe.
📍 Mlimani City | 04.12.2025















11/12/2025

Uongozi wa Marais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe wakionesha umoja na mshikamano katika kushiriki Mahafali ya 24 Ndaki ya Dar es Salaam

➡️ Kulia: Mh. Samweli Chacha – Rais wa Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki Kuu Morogoro

➡️ Katikati: Mh. Emmanuel Mahondo – Rais wa Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Dar es Salaam

➡️ Kushoto: Mh. Mifolino Hamisi – Rais wa Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Mbeya













Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam