Fahari ya mama Tz

Fahari ya mama Tz

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fahari ya mama Tz, Education, Dar es Salaam.

Ukimuwezesha mwanamke umeiwezesha jamii .Fahari ya mama Tanzania ni Taasisi ya kizalendo yenye lengo la kumuinua na kumkomboa mwanamke na kijana wa kitanzania kifikra, kijamii na kiuchumi.

Photos from Fahari ya mama Tz's post 14/12/2025

Vikao na vijana Kwenye Vijiwe vya Bodaboda /Kahawa/ na Michezo ya draft ili kuwasikiliza maoni yako na Kwanini wanadhani kuandamana ndio inaweza kua sulu hissi la hoja walizonazo. lakini vijana wengi wameonekana kua hawasapoti wala hawakubaliani na wanaharakati wanaohamasisha maandamano.

Nao wa mesela wanataka maisha ya haki, lakini pia na uhuru wa kufanya kazi huku na Wao wakihimizana kutimizia wajibu wao K**a wananchi. Vile vile wameomba viongozi waliopo madarakani kufanya kazi kWa bidii lakini kwa kuzingatia haki na sheria na sio kinyume chake . Tukifatisha kauli ya Mhe. Rais KAZİ NA UTU TUNASONGA MBELE kıla kiongozi azingatie Utu huku akichapa kazi Maendeleo ni Lazima nchini. Alinukuliwa kijana Othman iddi Dereva bodaboda

Photos from Fahari ya mama Tz's post 14/12/2025

Taasisi ya Fahari ya Mama Tanzania inajali na Kuithamini Jamii hasa wakına mama na watoto ... tukuwaasa wakina mama wawaonye na kuwakanya vijana wao ili waweze kuepuka na Masuala ya maandamano yasiokua na tija na badala yake wajielekeke Kwenye kujijengea uwezo na kutafuta ujuzi ili waweze kujiajiri/ Kuajiriwa

14/12/2025

Taasisi ya Fahari ya Mama Tanzania inajali na Kuithamini Jamii hasa wakına mama na watoto ... tukuwaasa wakina mama wawaonye na kuwakanya vijana wao ili waweze kuepuka na Masuala ya maandamano yasiokua na tija na badala yake wajielekeke Kwenye kujijengea uwezo na kutafuta ujuzi ili waweze kujiajiri/ Kuajiriwa

18/11/2025

Hongera sana Mhe

26/08/2025

Fahari ya mama Tanzania inayo Furaha Kubwa Kutoa mwakilishi wa NGO kupitia umoja wa wanawake Tanzania bi .
Tunakupongeza kwa Hatua hii kubwa na Tuna Amini katika utumishi wako mwema wenye kujitoa na kulitumia taifa.
KWa Hakika NGO zote nchini zimepata mwakilishi imara, kijana mwenye maono na uthubutu💪🏽 wote tunasema mama 🖐🏼 tena, October tuna ✅✅✅ cc

25/08/2025

Bodi ya wakurugenzi na wananchama wote wa Taasisi ya Fahari ya Mama Tanzania kupitia Mkurugenzi Mtendaji bi Mwajumbe Magimba inampongeza Mbunge Mteule kupitia UWT nafasi ya NGO bi kwa kuteuliwa Kuwakilisha NGO zote nchini bungeni. Salaamu Zetu Za pongezi kwa bi Rahma ambae ni mmoja wa waanzilishi ya taasisi yetu lakini pia kwa kupata nafasi hiyo kupitia taasisi ya . HONGERA SANA NA MUNGU AKUSIMAMIE UKATUWAKILISHE VYEMA MJENGONI.

Photos from Fahari ya mama Tz's post 27/11/2024

Tulipokua tunahamasisha vijana kuchagua viongozi wa vijiji kwa mustakabali wa maendeleo ya vijiji vyao. Kijana ana nguvu kubwa ya kuleta mabadiliko na maendeleo akifanya maamuzi sahihi ya kuchagua kiongozi mwerevu, msikivu na mtetezi wa haki.
Uchaguzi wa serikali za mtaa kwa maendeleo endelevu

Photos from Fahari ya mama Tz's post 26/08/2024

Tumewakilishwa vema na mkurugenzi wetu katika katika tukio kubwa la kitaifa la kizimkazi festival ambalo limehitimishwa august 25 Katika kijiji cha Makunduchi kilichopo mkoa wa Kusini unguja , Zanzibar

Photos from Fahari ya mama Tz's post 23/08/2024

Siku ya NISHATI SAFI YA KUPIKIA katika wiki ya Kizimkazi.

Mkurugenzi Mkuu Bi Mwajumbe Waziri wa Fahari ya mama Tanzania ameshiriki katika siku ya nishati safi ya kupikia katika wiki ya Kizimkazi festival, kongamano hilo limeratibiwa na Taasisi ya ikiwa na kauli mbiu inayosema

Taasisi yetu ya Fahari ya Mama Tanzania tukiaa wadau wakubwa wa Nishati safi nchini tunaipongeza kwa kuandaa tukio lenye tija na faida kwa nchi lakini katika kuendelea kuunga mkono juhudi za champion wa nishati safi Africa Mhe Rais wa JMT mama yetu hasa husuaan ile kauli mbiu yake ya Tumtue mama kuni kichwani.

Nasi kauli mbiu yetu ni “Tunza mazingira, linda Afya, Tanzania kupika bila moshi INAWEZEKANA”



11/08/2024

Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya Fahari ya Mama Tanzania akiwa pamoja na viongozi wa serikali alipokua Jijini Paris nchini France kwenye kongamano la kimataifa la nishati safi ya kupikia kwa Afrika na mataifa mengine uliojulikana k**a SUMMIT ON CLEAN COOKING IN AFRICA, mapema May mwaka huu ambapo Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama yetu alikua Makamu mwenyekiti wa mkutano huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali duniani.
Kwetu k**a taasisi imekua ni heshima kubwa kupata mualiko kutoka wa kuhudhuria mkutano huu k**a wadau wa maswala mazima ya nishati nchini. cc

03/08/2024

Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya Fahari ya Mama Tanzania akiwa pamoja na viongozi wa serikali alipokua Jijini Paris nchini France kwenye kongamano la kimataifa la nishati safi ya kupikia kwa Afrika na mataifa mengine uliojulikana k**a SUMMIT ON CLEAN COOKING IN AFRICA, mapema May mwaka huu ambapo Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama yetu alikua Makamu mwenyekiti wa mkutano huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali duniani.
Kwetu k**a taasisi imekua ni heshima kubwa kupata mualiko kutoka wa kuhudhuria mkutano huu k**a wadau wa maswala mazima ya nishati nchini.

02/08/2024

Ameahidi ametimiza huyu ni mama yetu

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Dar Es Salaam