27/03/2019
TANGAZO TANGAZO TANGAZO
LUDETTE ULCERS POWER CLINIC
Tunatibu vidonda vya tumbo kwa utaratibu ufuatao;
Tunampa mtu dawa bila pesa, anakunywa akipona ndo analipa, asipopona asilipe. hii ni ofa mal;umu kuelekea mwezi wa Ramadhan, popote ulipo piga simu tutakufuata nakukupatia dawa yetu, utatupa namba zako za simu, jina lako, na sehemu uliopo. Dawa yetu inatumika katika mda wa siku Kumi, Kwa nguvu ya Mwenyezi Mungu utakua umesha pona ndo utakapo lipa malipo.
KwaaJili ya Ramadhan bei yetu itakua nafuu zaidi
Kwa tarifa zaidi piga 0656520226/0787685152
17/05/2017
TAASISI YA ARDHI DAR ES SALAAM INAWATANGAZIA WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE NA SITA NA UMMA KWA UJUMLA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018 KATIKA NGAZI ZA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KWENYE FANI ZA USIMAMIZI WA ARDHI NA UTHAMINI (LAND MANAGEMENT AND VALUATION), UPIMAJI NA RAMANI (JOMATIKIA) NA MIPANGO MIJI NA VIJIJI (URBAN AND REGIONAL PLANNING).
MWOMBAJI AWE NA UFAULU WA ALAMA 4 ZA “D” AU ZAIDI KWA MASOMO YA ASTASHAHADA NA PRINCIPAL MOJA NA SUBSIDIARY MOJA KWA WAOMBAJI WA STASHAHADA.
WAOMBAJI WOTE WATUME MAOMBI YAO PAMOJA NA SHS. 20,000/- MOJA KWA MOJA CHUONI. MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 20 AGOSTI 2017, NA MUHULA WA MASOMO UTAANZA TAREHE 25 SEPTEMBA 2017.
ATAKAYESIKIA TANGAZO HILI AMJULISHE NA MWENZAKE. KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBARI 0767 517287, 0715431990 NA 0784273902
WOTE MNAKARIBISHWA
08/05/2017
Our heartfelt condolences to the families of the little angels and staff of LuckVicent Primary School. May God give us strength through this difficult time.
16/12/2015
05th December 2015. Tag anyone you see and know.
30/09/2015
RE: OPENING OF NEW ACADEMIC YEAR 2015/16
According to recent Government Notice NACTE’s directives, the new academic year for all Colleges/Institutes regulated by NACTE will start on 9th November, 2015 for both new and continuing students.
Hence orientation for new students and supplementary week will be 9th November to 13th November, 2015. This means Lectures will start on 16th November, 2015 and the Almanac for 2015/16 will change accordingly.
NB: The Management of ILD insists all students to adhere to payment policy of Tuition fees and others i.e. paying in semester system. Due to changes in the Almanac, all students are required to make sure semester payments are made to avoid inconveniences between the semester sessions.
Also Chairman's Day is scheduled to 5th December 2015.
GEORGE MBYOPYO
VICE PRINCIPAL - ACADEMICS
17/06/2015
Ramadan is the sacred month for Muslims and the month for seeking blessings of Allah for oneself and others. Our warmest wishes for a happy and blessed Ramadan to all our Muslim brothers and sisters, students and staff
14/05/2015
Our students doing what they know how to do best.