17/07/2019
National Aerospace University, Ukraine.
Courses:
1. Bach Of Aircraft and Rocket Engineering
2. Bach of Computer Engineering
Karibu tukusaidie kwenda kwenye Moja ya Vyuo Bora barani Ulaya kusomea utengezaji ndege kwa Gharama nafuu zaidi.
Instagram:
11/07/2019
Nani Alikwambia Hauwezi?
Changamkaa!! Nafasi za udhamini wa masomo bado zinaendelea kutolewa kwa wanafunzi wenye sifa kwa Vyuo vya China na Ukraine, wewe pia unaweza kuzipata kwa urahisi. Follow utizame k**a wewe ni mmoja wapo.
01/07/2019
Jiulize, Ni mara ngapi umepanga malengo usiyatimize?, Au ukatamani sana ufanye jambo fulani ila ukashindwa kutoka na changamoto mbalimbali zikiwamo fedha, mda au mlolongo wa taratibu k**a vile visa, passport n.k
Mjuze Rafiki, Mwambie mzazi, wapeni taarifa hizi na ww pia, wakati wa kufanya maamuzi ni sasa. Elimu ya nje ni kwa wote. Kila mtu anauwezo na nafasi sawa ya kusoma anachotaka.
Follow us for More information
04/06/2019
The general living cost in Ukraine is relatively cheap, compared to other parts of Europe.
21/05/2019
EduGain Abroad ni taasisi pekee Nchini iliyopewa Vibali rasmi na Vyuo Takribani 10 Vya Nchini Ukraine kusaidia Wanafunzi katika ufanikishaji wa taratibu zote za Kwenda kujiunga na Vyuo Vya Nchi hiyo kwa haraka zaidi na Gharama Nafuu. Utasaidiwa kuanzia Upatikanaji wa Passport, Visa, Invitation Letter na pia EduGain Abroad Itasimamia Safari yako kwanzia Tanzania mpaka Ufikapo Chuoni.
Je, Wewe unatamani kusoma Ulaya? Ama una nia kuongeza CV yako kwa kusoma katika vyuo Bora vya Ulaya? Je, Wewe ni Mwanafunzi uliyehitimu Diploma, ama una elimu ya kidato cha cha sita? Hujachelewa. Sasa kila mtu anauwezo wa kwenda kusoma Ulaya. Wakati wako ni sasa. WAHI..Kwa maana mda umebaki mchache.
Tucheki kwa email yetu, [email protected] au Tupigie Moja kwa moja kwa namba: 0658 242 344 / 0763 733 775. Karibu! 😊
13/05/2019
Success is where Preparation and Opportunity meet.
07/05/2019
Menejimenti na Wafanyakazi wote wa EduGain Abroad tunawatakia waumini wote wa dini ya Kiislamu na Watanzania mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Ramadhan Kareem!!
02/05/2019
Our hearts are filled with sorrow. RIP Reginald Mengi
😪
02/05/2019
Ukraine ni nyumbani kwa Vyuo zaidi ya 800 vya elimu ya juu vilivyopo ndani ya miji mikubwa k**a vile Kiev, Zaprozhye, Dnepropertrovsk, Lviv na Odesa. Vyuo vyake vina ada ya masomo iliyo nafuu na chini kuliko nchi nyingi, barani Ulaya na duniani kote na vinatambulika na "QS World University Rankings" kwa ubora wa Elimu na Taaluma. K**a wewe ni mpenda masomo ya historia, una ndoto ya kuwa daktari, injinia, au mwanasheria na ni mpenzi wa asili au mjasiriamali ujao, fursa ya kusoma katika Nchi ya Ukraine inaweza kuwa ndio unachotafuta. Karibu!
01/05/2019
Habari Njema: Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuwa itatoa bilion 450/ - kwa Wanafunzi 128,285 mwaka huu.