25/08/2022
Udahili awamu ya pili
®️
Sisi ni Elimu tu! Tuna dhamira ya kuwafikia wadau wote wa elimu kwa namna ya taarifa juu ya mahitaji yao na hivyo kutengeneza mnyororo wa elimu nchini Tanzania.
Elimu Leo ni mtandao binafsi uliosajiliwa na BRELA kwa namba 431422 wenye dira ya kuwa chombo cha habari za kielimu ndani na nje ya Tanzania, ulioanzishwa kwa lengo la kuunganisha wadau mbalimbali wa elimu katika kushirikishana juu ya taarifa zinazogusa matukio, mijadala, fursa, changamoto na masoko ya huduma za kielimu.
25/08/2022
Udahili awamu ya pili
®️
10/07/2022
Scholarship
®️
10/07/2022
Msimu wa udahili vyuo vikuu, changamkia kozi yako mapema
®️
03/07/2022
Tunafarijika sana kuendelea kuwaunganisha watu wa mataifa mbalimbali na taarifa za elimu na fursa zake.
®️
03/04/2022
TANGAZO!
Shule ya sekondari UCHAMA_ iliyopo NZEGA mjini mkoa wa Tabora, barabara kuu iendayo mwanza Tunawatangazia nafasi za kidato cha TANO mwaka 2022 Kwa mwanafunzii mwenye division I, II, and III, kwenye mtihani wa kuhitimu kidato cha nne, Shule yetu ina combination za PCB, CBG, PCM, HKL, HGK, HGE, na HGL shule yetu inamilikiwa na kanisa KATOLIKI JIMBO KUU LA TABORA na tunapokea wanafunzi wa imani zote na ada YETU ninafuu sana na inalipwaa Kwa awamu NNE.. Kwa mawasiliano zaidii Basi piga namba zifuatazo kwa maleezo zaidii 0764841316 / 0626620188.
Karibu sana tukuhudumie
Mtag classmate aliekuwa na tabia hii
®
Mtag classmate aliekuwa na tabia hii
®
Mkuu wa Chuo cha Maji Dkt Adam O. Karia anawatangazia umma kuwa, Chuo kimeongeza kozi mpya za mafunzo ya muda mrefu katika ngazi za Shahada (Degree) na Stashahada (Diploma) katika fani mbalimbali.
Lengo la kuanzishwa kwa kozi hizo mpya kunalenga kukidhi mahitaji ya jamii kwa sasa na baadae, pia kutatua changamoto zilizopo katika sekta ya maji kupitia uzalishaji wa wataalam mahiri na wenye weledi sahihi.
Fani hizi mpya zilizoanzishwa zimeshapata ithibati kutoka Baraza la Taifa la Ufundi (NACTE) na zitaanza kutolewa kuanzia mwaka wa masomo 2022/2023 yaani muhula utakaonza Oktoba, 2022. Kozi hizo ni k**a ifuatavyo:-
1. Bachelor Degree in Community Development for Water Supply and Sanitation
2. Bachelor Degree in Hydrogeology and Drilling
3. Bachelor Degree in Engineering Hydrology
4. Bachelor Degree in Sanitation Engineering
5. Ordinary Diploma in Sanitation Engineering
17/03/2022
Endelea kupumzika mwasisi wa Elimu bila ada.
®