Tassaa99

Tassaa99

Share

We are an organization that provides carrier counseling to students and helping them on applying to

06/05/2024

Soma Bachelor in Genetics and Bioengineering, kwa Scholarship ya Asilimia 50. Tassaa99 tutakusaidia kusoma course hii katika chuo cha Okan University Turkey

For more infotmation;
Contact: 0747173931
Email: [email protected]
Website: tassaa.co.tz

06/05/2024

Umeshawahi kusikia course hii
“Masters in Aviation Management”?

Inahusu nini na ajira zake ni zipi? ungana na Tassaa99 tunapo kunyambulia kozi hii kiyakinifu.

Kozi ya Masters in Aviation Management inalenga kutoa maarifa na ujuzi wa usimamizi wa anga za juu na tasnia ya ndege kwa ujumla. Baadhi ya masomo yanayojumuishwa katika kozi hii ni pamoja na usimamizi wa ndege, sera za anga za juu, uchumi wa anga za juu, usalama wa dege, na masuala ya kisheria yanayohusiana na tasnia ya ndege.

Kuna fursa nyingi za ajira kwa wale wenye shahada ya Masters in Aviation Management. Baadhi ya ajira hizo ni pamoja na:

1. Meneja wa Uendeshaji wa Ndege: Kusimamia shughuli za kila siku za undeshaji wa ndege kwenye uwanja wa ndege.

2. Meneja wa Rasilimali za Binadamu: Kusimamia rasilimali wat katika kampuni za ndege au mashirit ya anga za juu.

3. Meneja wa Usafirishaji wa Anga: Kusimamia huduma za usafirishaji wa anga katika mashirika ya ndege.

4. Meneja wa Usalama wa Anga za Juu: Kusimamia mikakati ya usalama katika tasnia ya anga za juu.

5. Mshauri wa Usimamizi wa Anga: Kutoa ushauri kwa mashirika ya anga za ju kuhusu masuala ya usimamizi na sera.

6. Meneja wa Huduma za Abiria: Kusimamia huduma za abiria kwenye uwanja wa ndege au kwenye ndege.

7. Meneja wa Masoko a Mauzo: Kusimamia shughuli za masoko na mauzo kwa mashirika ya ndege.

8. Meneja wa Utafiti na Mandeleo: Kusimamia shughuli za utafiti na mandeleo katika tasnia ya anga za juu.

Kwa kuwa tasnia ya anga za juu inaendelea kukua, hivyo kuna uhitaji mkubwa wa wataalamu wenye ujuzi katika usimamizi wa anga. Kwa hiyo, kozi ya Masters in Aviation Management inaweza kutoa fursa nzuri za kazi katika sekta hiyo.

03/05/2024

Please share
Soma Masters in Aviation Management kwa Scholarship ya Asilimia 50.

Tassaa99 tutakusaidia kusoma course hii katika chuo cha Galgotias University India

For more infotmation
Website: tassaa.co.tz

Photos from Tassaa99's post 03/05/2024

Did you know? India with its rich cultural heritage and booming economy, offers incredible opportunities for students looking to study abroad!

Here’s why studying in India with Tassaa could be your ticket to a bright future:

World-Class Education: India is home to some of the world’s top universities, renowned for their quality education and diverse range of courses. From engineering to medicine, business to arts, there’s something for everyone.

Global Exposure: Studying in India exposes you to a diverse and vibrant culture, as well as a rapidly growing economy. You’ll gain invaluable international experience that will set you apart in today’s globalized world.

Innovation Hub: India is a hotbed for innovation and entrepreneurship, with a thriving startup ecosystem and countless opportunities for internships and hands-on experience.

Affordability: Compared to many Western countries, the cost of studying in India is relatively affordable, making it an attractive option for students seeking quality education without breaking the bank.

( Gateway to Asia: With its strategic location, studying in India opens doors to explore other countries in Asia, providing endless travel and networking opportunities.

At “TASSAA STUDY ABROAD we’re committed to guiding you through every step of your journey to study in India, ensuring you make the most of this incredible experience.

*+ .

Photos from Tassaa99's post 02/05/2024

Ni vitu gani unatamani kufahamu kuhusiana na kusoma abroad

Tassaa99 mabingwa wa vyuo vikuu nje ya nchi tupo hapa kuhakikisha ndoto za vijana kusoma nje ya nchi zinatimia

Tuandikie kwenye comment section chini tutamjibu kila mmoja.

01/05/2024

On Labour Day, we celebrate the hard work and dedication of every worker.

May you enjoy the fruits of your labour and find joy in the work you do.
Happy Labor Day


30/04/2024

Please share iwafikie wahusika.
Bado tupo na watu wa Diploma hatujawaacha nyuma

Soma Diploma in Automobile Engineering, kwa Scholarship ya Asilimia 50
Nafasi zimebaki chache sana.

Tassaa99 tutakusaidia kusoma course hii katika chuo cha Galgotias University India

For more infotmation;
Contact: 0747173931
Email: [email protected]
Website: tassaa.co.tz

26/04/2024

Heri ya siku ya Muungano Tanganyika na Zanzibar.
Tudumishe Muungano

25/04/2024

Umeshawahi kusikia course hii
"Masters in Geotechnical Engineering"?

Inahusu nini na ajira zake ni zipi? ungana na Tassaa99 tunapo kunyambulia kozi hii kiyakinifu.

Kozi ya uzamili katika uhandisi wa udongo (geotechnical engineering) ni fani inayojikita katika kuelewa tabia za udongo na miamba ili k***a miundo imara k**a vile majengo, madaraja, na barabara.

Baadhi ya masomo yanayojadiliwa katika kozi hi ni pamoja na chambuzi wa udongo, muundo wa udongo, na uhandisi wa mazingira. Wataalamu wa geotechnical engineering wanahusika katika miradi mbalimbali ya ujenzi, miundombinu, na ulinzi wa mazingira.

Ajira zinazoweza kupatikana kwa wataalamu wa geotechnical engineering ni pamoja na:

1. Wahandishi wa Geotechnical: Wataalamu hawa hushughulika na chambuzi na kubuni wa miundo mbalimbali inayohitaji ujuzi wa udongo na miamba, k**a vile majengo, barabara, na mabwawa.

2. Mtaalamu wa Uchunguzi wa Udongo: Wataalamu hawa wanafanya uchunguzi wa udongo na miamba ili kuelewa tabia zake za kijiolojia na kubuni miundo imara.

3. Mtaalamu wa Usalama wa Ardhi: Wanahusika katika kutathmini hatari za kijiolojia k**a vile maporomoko ya ardhi a kuzingatia mambo hayo katika mipango ya maendeleo na ujenzi.

4. Mshauri wa Uhandisi wa Mazingira: Wanashiriki katika miradi ya ulinzi wa mazingira k**a vile kuzuia uharibifu wa ardhi na udhibiti wa ubora wa maji.

5. Mtafiti: Wataalamu wa geotechnical engineering wanaweza kufanya utafiti katika taasisi za elimu au taasisi za utafiti, wakichunguza masuala k**a vile tabia za udongo, teknolojia mpya za uchambuzi, na njia za ubunifu za ujenzi.

Kwa ujumla, wataalamu wa geotechnical engineering wanahitajika katika sekta ya ujenzi, miundombinu, ulinzi wa mazingira na wanaweza kufanya kazi katika sekta za umma au binafsi, k**a vile makampuni ya uhandisi, mashirika ya Serikali au K**a wajasiriamali.

24/04/2024

Please share Ifike mbali
Soma Masters in Geotechnical Engineering, kwa Scholarship ya Asilimia 85.
Nafasi zimebaki chache sana.

tutakusaidia kusoma course hii katika vyuo bora vilivyopo nchini India USA na Canada

For more infotmation;
Contact: 0747173931
Email: [email protected]
Website: tassaa.co.tz

24/04/2024

Je unajua? Kupitia unaweza kupata scholarship hadi ya 50% ya kwenda kusoma USA, Canada na India?

Kwa tarifa zaidi kuhusiana na scholarship hizo, tembletea our website
tassaa.co.tz
Contact: 0747173931
Au fika ofisini, 6th foor Mwanga tower, Dar es Salaam

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


New Hub Street
Dar Es Salaam
301210